The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Kabisa wawaache wenyewe waamue mambo yaoNgara na Biharamulo wote lugha yao ni moja hivyo na wana chato hakuna tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wawaache wenyewe waamue mambo yaoNgara na Biharamulo wote lugha yao ni moja hivyo na wana chato hakuna tofauti
Kila kizazi na kitabu chakeMwl JK Nyerere amezikwa Butiama kwanini hawakuipandisha hadhi na kuwa mkoa?
Wanalialia wakati nyoka anaingia ndani ya blanketi walikuwa wanachekelea? Wanaangalia wana.tiwa vidole halafu wanajifanya kuruka. Wavumilie sindano iingie. Bia tamuWangepinga na uchaguzi fake uliowapa ubunge.
Maadamu walimpenda Jiwe, wapende na makandokando yake yaliyotufikisha hapa leo hii.
Na hapa CCM ndio mjue madhara ya hii katiba mbovu si kwa wapinzani tu.
Chato lazima iwe mkoa.Ni ukweli lakini mchunguSi kweli, kuwa hilo ndilo litakuwa suluhisho pekee...
Kama ndivyo, wako ktk mkoa wa Geita. Kwanini mkoa wa Geita usiilee miradi hiyo kama ndiyo hoja yako?
Sikiliza bwana. Hizi ndizo athari ya maamuzi ya upendeleo maana ukipotea wewe uliyekuwa na maamuzi ya kujipendelea, watakaokuja baada watafuta ujinga huo na hivyo kuwaachia taabu na mahangaiko wanao...!
Watoto wa Magufuli, wana CHATO pambaneni na athari za maamuzi mabaya ya baba yenu. Msitafute mtu wa kuwasaidia unless mmugeukie Mungu muumba na kuomba toba kwa niaba ya baba yenu...
Hayo maeneo ukiyajumlisha yote mzunguko wa pesa wa Katoro hawafiki hata robo kwa sikuKama Chato inakuwa mkoa kwanini Machame, Marangu, Mamba, Mwika, Kirua na Rombo zisiwe mikoa?
Wanajidanganya sana hao na kamwe hawawezi kutundolea fikra zetu .Mkuu kuna mtu (Sukumagang) nilimuuliza ni kwanini adhimisho ni la JK Nyerere lakini mashada yaliwekwa Chato akaniambie kule ndo kuna "kaburi la taifa".
Ujue tatizo ni kuwa nchi yetu ina maskini wengi wa akili na kipato.
Katoro wana mzunguko upi zaidi ya kutegemea sana magurio?Hayo maeneo ukiyajumlisha yote mzunguko wa pesa wa Katoro hawafiki hata robo kwa siku
Labda lazima ya nyumbani kwenu NgaraChato lazima iwe mkoa.Ni ukweli lakini mchungu
Kila mtanzania anajua kuwa baba wa taifa letu ni mwl JK Nyerere.Kila kizazi na kitabu chake
Kuna mhaya na mshutiKabisa wawaache wenyewe waamue mambo yao
Hebu fanya kuwauzia kipande cha Mkoa wenu kama Marekani ilivyonunua Jimbo la Alaska kama nakosea nikosoeMkoa ni wa Tanzania siyo wa wabunge!
Wanasema eti hizo kuundwa kwa mkoa wa chato Kagera itakosa ardhi ya Kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]alafu wawili kati ya hao ni madokta [emoji23][emoji23]Kuna mhaya na mshuti
Hakuna dr hapo nawapongeza wahaya halisi wamejitambuaWanasema eti hizo kuundwa kwa mkoa wa chato Kagera itakosa ardhi ya Kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]alafu wawili kati ya hao ni madokta [emoji23][emoji23]
Yaani kati ya wabunge mazuzu ni pamoja na haya matatu maana yanashindwa kutetea majimbo yao kama huko Bukoba vijijini kwa Rweikiza maji ni yeye yuko bize na vitu ambavyo wanajimbo wenzake hawana manufaa. Biharamulo na ngara zimekubali kwenda chato na wabunge wao wamekubali alafu mijitu hii inayopiga sijui imekerwa na niniHakuna dr hapo nawapongeza wahaya halisi wamejitambua
Biharamulo na Ngara wote ni wanyangara na wahangaza wacha waungane na wahangaza wa chatoYaani kati ya wabunge mazuzu ni pamoja na haya matatu maana yanashindwa kutetea majimbo yao kama huko Bukoba vijijini kwa Rweikiza maji ni yeye yuko bize na vitu ambavyo wanajimbo wenzake hawana manufaa. Biharamulo na ngara zimekubali kwenda chato na wabunge wao wamekubali alafu mijitu hii inayopiga sijui imekerwa na nini
Mie naona waondoke tu maana kagame anawahitaji sana kuweka watu weVip wabunge wa biharamulo na ngara nao wanasemaje.
Maana sijawaona katika andiko hili
Watu kama hawa wenye roho mbaya ndo wamekuwa wakikwamisha miradi mingi mkoani Kagera kwa kupinga kila kitu. Sasa wewe mbunge wa muleba mambo ya biharamulo yanakuhusu nini.Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano, Chato na Bukombe mkoani Geita. Biharamulo na Ngara mkoani Kagera na sehemu ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma zichukuliwe kwa ajili ya kuanzisha Mkoa mpya wa Chato.
Wacha watoane ngeuCCM vs CCM. Tuchukue jembe tukalime