Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hoja yako wewe basi mkoa uwe wa Biharamuro Chato iwe ni wilaya ya mkoa wa Biharamuro.Nimefika Chato. Ile wilaya JPM aliijaza miradi mikubwa sana ya kitaifa.
Uwanja wa ndege.
Miradi kibao ya NHC.
MABANKA MAKUBWA.
IKO MIRADI MINGI SANAAAAAA.
HII MIRADI ISIPOTENGENEZEWA MIKAKATI YA KUITUMIA ITAKUFA NA SERIKALI ITAPATA HASARA.
KUIGEUZA MKOA NI SOLUTION ILIYOPO.
SABABU ZA WAHAYA KUUKATAA MKOA WA RUBONDO ZIMEKAA KIHUNI TU.
Mama ndio hataki kabisa kusikia huo ujinga wa Chato kuwa mkoa.Hawana ubavu wa kuigomea CCM kama itaamua kuipa Chato hadhi ya kuwa Mkoa (Manispaa) , kwa hiyo hata kama hoja zao zina mashiko ila chama ndicho kinaongoza Serikali na ndicho kitamuua.
ni kweli ndugu, mfumo wa CCM kwa sasa Mwenyekiti akitamka kitu mkutanoni hakuna wa kuguna..ukiguna guna unakutana na wazee wa suti nyeusi getini 🤣🤣🤣Mama ndio hataki kabisa kusikia huo ujinga wa Chato kuwa mkoa.
Sisiem akiraruana na sisiem
Acha utopolo wewe unataka wana Ngara na Biharamulo waendelea kupata shida kufata huduma Bukoba ambako ni mbali sana. Hayakuhusu kaa kimya!!Wana kagera msikubali mnaamishwa chato, huko ni kuharibu historia ya mkoa wenu ilianza kumegwa biharamulo na sasa ngara, kisa interest za kiongozi mubinfasi.
Aibu hao shomire kuwabagua wengine wakati sioni utifauti wao eti umaskini wao wa mkoa wanasingizia wilaya nyingine.Acha wajitenge maana wasubi, wahangaza, nk wamebaguliwa sana na hao akina nshomire......
Uzuri wa ubaguzi huwa hauishii kwenye "wapemba na waunguja" ndani kabisa kuna wanyambo, waziba, wahamba, wanyaihangiro, wahyoza, waendangabo, nk!
Huduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.Acha utopolo wewe unataka wana Ngara na Biharamulo waendelea kupata shida kufata huduma Bukoba ambako ni mbali sana. Hayakuhusu kaa kimya!!
Mbona mama ameshalimaliza hilo, ni kwamba tu anatumia polite and diplomatic language.ni kweli ndugu, mfumo wa CCM kwa sasa Mwenyekiti akitamka kitu mkutanoni hakuna wa kuguna..ukiguna guna unakutana na wazee wa suti nyeusi getini 🤣🤣🤣
Kwa hiyo tunasubiri uamuzi wa maza - kama ni mkoa basi aupe mapema ili tusahau.
Mkoa wetu ni kinara Tanzania, na watu wake wamesambaa dunia nzima, sisi ni next level wallah usitufananishe na vitu vya kijingaKama mkoa wako ulivyo masikini.
Inaongelewa Kagera, ww unaleta uchaga, mna shida gani, Kwanza nyinyi ndiyo mnawachukia wahaya. Niliwahi kufanya interview sehemu fulani, Manager ni mchaga wa Rombo, siku nalipoti kazini, akaniita ofisini kwake akasema nenda kabila lako likuajiri.Huduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.
Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.
Siasa za jiwe za kibaguzi hizo na kikanda angekuwa hai nchi hii ingeingia kwenye ukabila mubaya sana na hizi division zake, very shameAcha utopolo wewe unataka wana Ngara na Biharamulo waendelea kupata shida kufata huduma Bukoba ambako ni mbali sana. Hayakuhusu kaa kimya!!
Mkoa gani huo.Mkoa wetu ni kinara Tanzania, na watu wake wamesambaa dunia nzima, sisi ni next level wallah usitufananishe na vitu vya kijinga
Bila kusahau Lindi na yenyewe igawanyweNa Morogoro pia.
Mimi siyo mchaga, umebugi, soma vizuri hoja yangu, you're listening too slowly.Inaongelewa Kagera, ww unaleta uchaga, mna shida gani, Kwanza nyinyi ndiyo mnawachukia wahaya. Niliwahi kufanya interview sehemu fulani, Manager ni mchaga wa Rombo, siku nalipoti kazini, akaniita ofisini kwake akasema nenda kabila lako likuajiri.
Ndio maana wanataka wapelekewe mkoa karibu ili wapate huduma karibuHuduma hazitakiwi kufuatwa, huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu.
Ndio maana huwa mna chuki na wachaga wenzenu wilaya zao zote wanajitoshereza mpaka vijijini unskunywa maji ya bomba na wana umeme na lami na hawajawahi kutowa Rais Mchaga.
Ok.Mimi siyo mchaga, umebugi, soma vizuri hoja yangu, you're listening too slowly.
Jielewe huduma zinatakiwa zipelekwe walipo watu kama Magufuli alivyowapendelea watu wake wa Chato.Ndio maana wanataka wapelekewe mkoa karibu ili wapate huduma karibu
Yule ni Mrundi, Watanzania hatuna la roho za kishetani.Siasa za jiwe za kibaguzi hizo na kikanda angekuwa hai nchi hii ingeingia kwenye ukabila mubaya sana na hizi division zake, very shame