REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
KISHAPU
Mdau toa nyongo kafanyaje kama alitoa ahadi hewa au tangu kaenda bungeni hajarudi funguka lengo wajueKISHAPU
Kimei,vunjoYule wa CRDB
Inaonekana mlichagua mbunge bubuMimi Mbunge wangu tangu aingie mjengoni sijawahi kumsikia hata kwa bahati mbaya akishusha hoja za kututetea sisi wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla.
Utakuta wenzie wanawatetea Wananchi wao kwa nguvu zote lakini yeye yupo kimya tu.
Hata sisi tunatamani 2025 ifike haraka.
Jimbo la Rungwe,Mbeya!Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Segerea, Dar Es Salaam.Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Ukonga Haina mbunge mtoa mada kauliza majimbo yenye wabunge ukonga ni yatima nadhani inaenda kwa nguvu za serikali na watendaji wake ila mbunge HainaUkonga jamani
Bagoshaaaa, Niminala nduhu!?KISHAPU