converterr
JF-Expert Member
- Jan 28, 2023
- 294
- 593
nipo tanga bumbuli huku ninamiezi miwili natamani kazi yangu nimalize hata kesho niondoke.januali makamba hajawafanyia chochote hawa wananchi wake.bado wanaishi maisha yazamani maji shida bado wanabeba ndoo kichwani umeme washida Kuna vijiji wanatembea parefu kufata huduma ya umeme🤣hadikarne hii umeme hakuna ni Hadi uufate Kijiji kingine
ila chakushangaza huyu jamaa nimbunge tokea 2005 Hadi sasa ila hajafanya chochote.barabara mbovu hatari ameshindwa kuweka lami miaka yote🤣🤣🤣
nabado wanamchagua yeyetuu sijui wanampendea nini🤔
ila chakushangaza huyu jamaa nimbunge tokea 2005 Hadi sasa ila hajafanya chochote.barabara mbovu hatari ameshindwa kuweka lami miaka yote🤣🤣🤣
nabado wanamchagua yeyetuu sijui wanampendea nini🤔