Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…
Siyo kila mtu anafaa vkuwa kiongozi/mwakilishi wa watu.
Mbunge wa Kigamboni siyo kiongozi/mwakilishi mzuri, he's bogus.
Kama umekuwa mbunge wa jimbo lolote Dar es salaam na una sehemu umeme haujafika, huna karama ya uongozi/uwakilishi.
He's basically an agent of hopelessness.
Ndugulile
 
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.
Àache kanisa afu afanyaje
 
hilo libunge la kawe gwajima. mimi sitaki hata kulisikia. halina impact yoyooote, bora lirudi kanisani kwake kuendeleza na uongo wake wa ufufuo na uzima. nitashangaa sana kama 25 ataukwaa tena ubunge
Subirini mpelekwe Bamingam mkale maisha
 
Stanslaus Mabula wa Nyamagana Mwanza, ni Mbunge kiazi hajui hata Bungeni anafanya nini. Leo ukifika Jimbo la Ilemela kwa Angelina Mabula linashine lakini nenda Nyamagana, barabara ni mashimo, maji ya bomba shida
 
Back
Top Bottom