Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.
Unakosea sana kwenye thread yako. Umeandika "tuliyakanyaga" as if sisi ndiyo tulimchagua Bishop Gwajima.

Kwa taaarifa yako Gwajima aliwekwa na DIKTETA Magufuli ndiyo maana hajali performance kwa vile anawajibika kwa marehemu
 
nipo tanga bumbuli huku ninamiezi miwili natamani kazi yangu nimalize hata kesho niondoke.januali makamba hajawafanyia chochote hawa wananchi wake.bado wanaishi maisha yazamani maji shida bado wanabeba ndoo kichwani umeme washida Kuna vijiji wanatembea parefu kufata huduma ya umeme[emoji1787]hadikarne hii umeme hakuna ni Hadi uufate Kijiji kingine

ila chakushangaza huyu jamaa nimbunge tokea 2005 Hadi sasa ila hajafanya chochote.barabara mbovu hatari ameshindwa kuweka lami miaka yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nabado wanamchagua yeyetuu sijui wanampendea nini[emoji848]

Washirikina yeye na baba yake !
 
Unakosea sana kwenye thread yako. Umeandika "tuliyakanyaga" as if sisi ndiyo tulimchagua Bishop Gwajima.

Kwa taaarifa yako Gwajima aliwekwa na SIKTETA Magufuli ndiyo maana hajali performance kwa vile anawajibika kwa marehemu
Kama tume ilitangaza ni mshindi ina maana tulimchagua
 
Ukonga Haina mbunge mtoa mada kauliza majimbo yenye wabunge ukonga ni yatima nadhani inaenda kwa nguvu za serikali na watendaji wake ila mbunge Haina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jerry marehemuu au?!!!
 
nipo tanga bumbuli huku ninamiezi miwili natamani kazi yangu nimalize hata kesho niondoke.januali makamba hajawafanyia chochote hawa wananchi wake.bado wanaishi maisha yazamani maji shida bado wanabeba ndoo kichwani umeme washida Kuna vijiji wanatembea parefu kufata huduma ya umeme[emoji1787]hadikarne hii umeme hakuna ni Hadi uufate Kijiji kingine

ila chakushangaza huyu jamaa nimbunge tokea 2005 Hadi sasa ila hajafanya chochote.barabara mbovu hatari ameshindwa kuweka lami miaka yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nabado wanamchagua yeyetuu sijui wanampendea nini[emoji848]
Wapuuzi hao watanga wapo wapo tu km wafu
 
Kondoa kule nimepita yaan mvua ikinyesha huingii mjin wala kutoka mnabaki ndan kama utumbo!! Yaan kujenga madaraja kondoa imekua ngumu kinyama. Miaka na miaka!!
Kondoa,chemba,chamwino,bahi yaani in short ukitoa Dom mjini kungine kote hovyoo mnooo hovyoo sanaa
 
Kwa jimbo la ubungo changamoto ya miundombinu ya barabara ni kubwa mathalani wakazi wa makabe hadi msumi hali ni mbaya mno.
Kama mbunge atapitia huku ajue nayo itakuwa kipimo cha 2025
 
Naona safari hii tulioko mijini tukapige kura vijijini tulikozaliwa tukomeshe upuuzi huu wa hawa wabunge. Tuwape Supriize. Serikali itupe muda wa kwenda kupiga kura kwenye vijiji vyetu. Na tarehe ya kupiga kura ikae pazuri
 
Uchaguzi mkuu 2020 haukuwa wa kidemokrasia tuwaombee wapambaniaji wa katiba mpya wafanikiwe ipatikane tume huru ya uchaguzi 2025 kila mtu apige kura
 
Unakosea sana kwenye thread yako. Umeandika "tuliyakanyaga" as if sisi ndiyo tulimchagua Bishop Gwajima.

Kwa taaarifa yako Gwajima aliwekwa na DIKTETA Magufuli ndiyo maana hajali performance kwa vile anawajibika kwa marehemu
Mkuu nilimaanisha mwibara
 
kimei n mbunge wangu wa vunjo tunakaa nae kijiji kimoja cha kokirie kata ya mamba kaskazini.ajabu kijiji chetu kina zahanati.ila hyo zahanati aina dokta zaidi ya manesi hata mjamzito hawajifunguli hapo
mbaya zaidi hamna dawa za kutosha wala vipimo ukienda hyo zahanati ukiwa na shida watakupa dawa bila kipimo.hajawahi kuitisha mkutano kuna siku tulimsimamisha akiwa anatoka getini kwake tukamwelezea shida zetu alitwambia hawezi tusaidia ss walevi. akatupa buku mbilimbili tulikuwa kama arobaini hv kwa hasira na majibu yake tulienda kujipozea na banana tatu tatu mixa na fegi wakina mama na wazee wakajipoza na mbege ila kwa kifupi tangu utawala wa mbatia mpaka kmei hakuna walichofanya cha maendeleo. ndo mana tunamkumbuka mrema alifanya vitu vya maana sana. tunasubiri 2025 tumtoe kimei kwasababu jimbo la vunjo hakuna mbunge aliekaa mihula miwili.miaka mitano tunatoa tunaweka mwingine tangu vyama vingi vingie nchini ila mrema tulifanya kosa kumtoa sababu amefanya mambo mengi sana ungekuta tuko mbali sana kiuchumi na kimaendeleo.kipindi cha 2015 tulidanganyika na ukawa tukitegemea watatuletea maendeleo zaidi kupitia mbatia kumbe n ziro daima tutamkumbuka mrema
 
Back
Top Bottom