Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
NdugulileSiyo kila mtu anafaa vkuwa kiongozi/mwakilishi wa watu.
Mbunge wa Kigamboni siyo kiongozi/mwakilishi mzuri, he's bogus.
Kama umekuwa mbunge wa jimbo lolote Dar es salaam na una sehemu umeme haujafika, huna karama ya uongozi/uwakilishi.
He's basically an agent of hopelessness.
Àache kanisa afu afanyajeTunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.
Bwabwa na mwendazakeUkonga jamani
Sema Dr Babu TaleKwa babu tale
Subirini mpelekwe Bamingam mkale maishahilo libunge la kawe gwajima. mimi sitaki hata kulisikia. halina impact yoyooote, bora lirudi kanisani kwake kuendeleza na uongo wake wa ufufuo na uzima. nitashangaa sana kama 25 ataukwaa tena ubunge
Mwibara 2025 mchagueni David Muyenjwa Chiliko, yuko vizuri sana yule mzeeCHARLES MGUTA KAJEGE Jimbo la MWIBARA sijawai hata kumsikia kikohoa yaani simuelewi kabisa sijui kawa bubu yaani mwibara tulijikanyaga