iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
kwqani anaongea leo Mbowe?Pole sana MKASKAZ Mh. mbowe biznesMAN.
Anajua kuchanga karata ili asipoteze kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwqani anaongea leo Mbowe?Pole sana MKASKAZ Mh. mbowe biznesMAN.
Anajua kuchanga karata ili asipoteze kabisa...
Nakuhakikishia kuwa Mbowe sio mpinzani yuko kimaslahi.Yule yupo kimaslahi
Then kusikika huko hakuna faida yoyoteSiasa za Tanzania zimebadilika, CHADEMA wanatakiwa kujua Hilo jambo....
Ila faida ni kudai katiba mpya na tume huru na ben saa nane?Then kusikika huko hakuna faida yoyote
Bro, upinzani umenivunja moyo sana.Then kusikika huko hakuna faida yoyote
Ndugu yangu usife moyo, ngoja nikwambie kituBro, upinzani umenivunja moyo sana.
Leo hii nimejikuta ninamshuku Mbowe kuwa yuko kimaslahi binafsi.
Umefika wakati ninapata hisia kuwa hienda alikuwa na mgawo katika manunuzi wa wabunge na madiwani uliofanyika kipindi cha nyuma.
Nimejikuta ninamhurumia Lissu na Mnyika kwa kukitoa kwao lakini juhudi zao zinatafunwa na mwenyekiti wao.
Kama kuna kitu Mbowe anakijua...atalipa
Uko tayari mke akaliwe ili atunze familia?Ndugu yangu usife moyo, ngoja nikwambie kitu...
Acha kuzungumzia zama za ujima this is 20 centuryUko tayari mke akaliwe ili atunze familia?
Tangu lini vita vya ukombozi vikawa rahisi?
Hivi kiongozi gani wa kweli hasa mpigania uhuru na haki anaweza kurudishwa nyuma na ukata?
Kijana tatizo mchakato wa hawa malaya wa kisiasa unaanza uongozi ulipenyezewa taarifa lkn Jmnyika aliishia kukanusha na hatukuona hatua stahiki zikichukuliwa kabla ya jambo hili kutokea kama lilivyotokeaTumia akili.
CHADEMA hakijaafiki. Yale Ni maamuzi binafsi ya mtu. Ukimuomba Bulaya Urafiki wa kimapenzi akakubali, huwezi kusema umetongoza CHADEMA
Tatizo tumepitia magumu mengi kisa tu kutetea chama . Unapoona wale mliokuwa mnawategemea wanaendatofauti na mataraji yenu utafanyaje . Hapo inabidi mpishane yeye akienda huku na ww nenda hukuKwani CHADEMA kupeleka wabunge viti maalumu nyumbani kwako unalala njaa au hupati huduma ya ndoa?
Hao ndio wanasiasaTatizo tumepitia magumu mengi kisa tu kutetea chama . Unapoona wale mliokuwa mnawategemea wanaendatofauti na mataraji yenu utafanyaje . Hapo inabidi mpishane yeye akienda huku na ww nenda huku
Inakuhusu?
Wanakera sana mkuu. Yaani uongozi usipokuwa thabiti katika kushughulikia jambo hili chama kinaweza potea kwenye ramani ya kisiasa kabisaHao ndio wanasiasa
Kwa mara ya kwanza nimempendaga buure Halima Mdee, wakati midume mizima inakimbilia kwa mabeberu yeye kaamua kupambana hapahapa,naamini wake wa wakubwa wangekuwemo kwenye hiyo orodha basi tusingesikia akina Mnyika wakibweka bweka kwenye Twitter, mkisusa twala, kule Zenj nae Maalimu yuko kwenye mtihani,muda si mrefu nae atajiendea kula kuku.Na Mwamba wa Kaskazini
Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT.
Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili yakitokea; mosi, Chama chao kikiwa kimefura wao kuapishwa (Katibu Mkuu wao Mnyika anasema hatambui wakati kina Mdee wenyewe wakikenua) lakini haya yanakuja wakati majamaa mawili ya Chama hicho yakiwa yanalelewa huko Ulaya!
Majamaa hayo Tundu Lissu na Godbless Lema yamekiuka kile wadada wa CHADEMA walichokienzi cha kufanya kazi ili wale kwa wao kwenda kukimbilia Kwenye Balozi na Mataifa ya Ulaya kulishwa bureeee kwa visingizio visivyokuwepo.
Kwa kifupi nasema Kongole kwa Mdee na wenzako, kwa kutimiza maandiko kuwa asiyefanyakazi na asile, kachapeni kazi sasa, msimamie hoja sio vioja, mtaendelea kula.
SawaNakuhakikishia kuwa Mbowe sio mpinzani yuko kimaslahi.
Tumemwamini muda mrefu lkn ndiye katufikisha hapa leo
Poakunywa maji
Hizo nafasi za viti maalum bora zifutwe kwani hazina maana kabsa ni mojawapo ya matumizi mabaya ya pesa za umma
Chezea Mangi wewe!! Siasa subiri 2025. Mbuuuutaa!!Mwamba Mbowe, mjasiriamali wa kisiasa, na dikteta, ataachaje kuchangamkia fedha ya ruzuku (wabunge wa viti maalumu hutoa 1m/- kila mwezi).