Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

Mbowe hawezi kufanya ujinga kama huo
Hakuna mtu mwenye siasa za kihuni kama Mbowe, binafsi nilipoteza imani nae baada ya kumleta Lowasa kwenye Chama na kumpa nafasi ya kugombea Urais.

Toka hapo nawashangaaga wanaoimba jina la Mbowe eti shujaa na Kamanda.
 
Watu wengi wanaoshabikia CHADEMA ni watu myopic na frustrated sana!....
Mimi ningekuwa karibu na Magu ningemwambia katika zile nafasi zake 10 achukue 3 ampe Mbowe, Msigwa na Upendo Peneza waende bungeni na vikamati wawape ili tujenge nchi. Haya mengine ya kutuletea Mbelgiji awe Rais tutawasamehe.
 
Wakati mkiendelea kujadiliana hata msisahau pia kwamba tumbo ndicho kiungo hatari kuliko vyote katika mwili.
 
Hayo madai uliyoandika hapo una ushahidi nayo?

Kila mara nimekuwa nikiwasikia hata wenzako wa Lumumba nao wakiimba hizo nyimbo lakini wakiambiwa waende Mahakamani wanapoteana, labda wewe unao ushahidi.

Unless otherwise, chama kama chama kitatoa tamko leo, kuendelea kulia lia kuhusu hilo jambo ni ulegevu wa akili, kosa wafanye wale lawama atupiwe Mbowe!
 
Halima kwa sasa hana jipya. Jitihada zake za kumkashifu Rais Magufuli kwa kujifanya "jike dume" zimeisha kukubali Ubunge wa viti maalumu huku akiwa aneshindwa vibaya kwenye jimbo. AIBU
Mtu amepata Ubunge unasema hana jipya kivipi wakati ndoto zake ni kuendelea kuwa Mbunge maisha yao yote.
 
ama hakika najutia maamuzi yangu kupanga foleni Oct ile, yaani kumbe hata tuolikuwa na imani nao na wao pia ni makinikia...[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ndugu zangu,

Nimeona nitoe ushauri tu kwa mdogo wangu John Mnyika kuwa sasa anatakiwa ang'atuke kwani BAWACHA wamemzidi nguvu...
CHADEMA wanahitaji pesa ya ruzuku kula na kuendesha chama, hao kina mdee wameruhusiwa ni kwamba kina Mnyika wanacheza na akili za watu tu hapa.
 
Na Mwamba wa Kaskazini

Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT....
Darasa la saba baada ya matokeo kutoka. Furahia zawadi ya iPhone uliyopewa.
 
Hakuna mtu mwenye siasa za kihuni kama Mbowe, binafsi nilipoteza imani nae baada ya kumleta Lowasa kwenye Chama na kumpa nafasi ya kugombea Urais.

Toka hapo nawashangaaga wanaoimba jina la Mbowe eti shujaa na Kamanda.
Hulazimishi kumwamini Mbowe
 
Ndugu zangu,

Nimeona nitoe ushauri tu kwa mdogo wangu John Mnyika kuwa sasa anatakiwa ang'atuke kwani BAWACHA wamemzidi nguvu.

Ni dhahiri Halima Mdee ana baraka za "mwamba" Freeman Mbowe.

Kwa ufupi tu jiweke pembeni na CHADEMA.
Siasa za Tanzania zimebadilika, CHADEMA wanatakiwa kujua Hilo jambo

Hivyo vitu wanavyodai haviwezi kupatikana Leo wala kesho

Mambo ya katiba mpya au tume huru haviwezi kuwepo hapa Tanzania never

Sasa kila siku watakuwa wanapiga kelele tu,

Jambo la msingi ni kuhakikisha wanapata forums ya kusikika hata kwa uchache
 
Back
Top Bottom