kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mbowe ana akili na busara ndio maana hata tamko la maandamano ni Lissu ndio alimshinikiza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio wajinga wenyewe ambao Mbowe anawapenda sana kuwa nao kwenye chamaMbowe hawezi kufanya ujinga kama huo
Kwa hili hata mimi nakuunga mkono kwa asilimia zoteNdugu zangu,
Nimeona nitoe ushauri tu kwa mdogo wangu John Mnyika kuwa sasa anatakiwa ang'atuke kwani BAWACHA wamemzidi nguvu..
Hivi kwa akili ya kawaida, mtu mwenye kuchanganua masuala hawezi eti kuwazuia kuingia bungeni wabunge waliotokana na kura za wabunge halafu huyo huyo akakubali kupokea ruzuku zitokanazo na idadi ya kura zilizowapeleka bungeni hao wabunge aliowazuia!Ndiyo maana mimi huwa namkubali Mbowe kama kiongozi madhubuti. Hata katika uchaguzi ulopita alijua hakuna wa kumg’oa JPM ila akamtoa kama sadaka Tototundu. Tototundu kwa vile he is not that much intelligent, akaingia kingi...
Hivi hapa anaetetemeka ni nani? [emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza kutetemeka kama kawaida yenu na maneno mengi, mkutano wa leo na waandishi wa habari ndio utatoa majibu ya maswali yote.
Huu mchongo wote una baraka zote kutoka kwa wakuu we baki unapiga kelele tu apa! Kwan kuna mtu alikua anajua chadema wanachoma ofisi zao moto wenyewe? hujui hujui tuMbowe hawezi kufanya ujinga kama huo
Hayo ndio makalai yenyewe mkuuYaani tutetemeke kwa sababu gani?
Mkutano wa leo wa nini? Nielimishe zaidi!
Hawa mpaka waone kwa macho kwa sababu akili zao ni nzito!hawqezi wakati keshafanya
Hizo nafasi za viti maalum bora zifutwe kwani hazina maana kabsa ni mojawapo ya matumizi mabaya ya pesa za ummaUlitegemea mbunge wa kuteuliwa aongelee jimbo?!!!!😄
Boss unategemea leo wakubali hili hadharani kuwa wanatambua Ubunge wa kina Mdee?Mmeanza kutetemeka kama kawaida yenu na maneno mengi, mkutano wa leo na waandishi wa habari ndio utatoa majibu ya maswali yote.
Halima kwa sasa hana jipya. Jitihada zake za kumkashifu Rais Magufuli kwa kujifanya "jike dume" zimeisha kukubali Ubunge wa viti maalumu huku akiwa aneshindwa vibaya kwenye jimbo. AIBUNdugu zangu,
Nimeona nitoe ushauri tu kwa mdogo wangu John Mnyika kuwa sasa anatakiwa ang'atuke kwani BAWACHA wamemzidi nguvu.
Ni dhahiri Halima Mdee ana baraka za "mwamba" Freeman Mbowe.
Kwa ufupi tu jiweke pembeni na CHADEMA.
Mbowe hawezi kufanya ujinga kama huo
Mkuu;Chama chochote kile cha siasa huwa kina makundi madogomadogo ambayo kila kundi walio ndani yake wana strong bond kati yao na huwa wana msimamo mmoja kwa kila jambo hata kabla ya vikao rasmi vya chama. Pia kuna mahusiano ya kingono huwa yanakuwepo ndani ya makundii hayo na pia kati ya mfuasi wa chama kimoja na mfuasi wa chama kingine. Uhusiano huo wa kingono ndio hudrive decision mbali mbali au uungaji hoja fulani fulani inayotolewa na mpenzi mwenza.
Katika nchi za dunia ya tatu wengi wa wanasiasa wanawake huwa na wapenzi wanaume wanasiasa ambao huwasaidia kuwanyanyua kisiasa.
Nani alijua Halima atafanya ujinga huu?Mbowe hawezi kufanya ujinga kama huo
Naona leo CHADEMA mnatwangana vichwa wenyewe kwa wenyeweHebu kunywa chai kwanza.
Leo Mbowe asipotoa Tamko kali moja kwa moja itaaminika kuwa kapewa pesa auze viti maalum na ndipo watanzania wengi watanzania wengi wataanza kuihukumu CHADEMA kwa nguvu kubwaMkuu, wakimjibu unitag!
Tumeona kinachojiri ndani ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA hakika hiki sio chama au taasisi ya umma, ni taasisi ya kundi Fulani la watu wenye maslahi yao binafsi ya kifedha....