Kweli kuna connection hapa.
Wakati nikimsikiliza Dr. Slaa alipokuwa anaupinga mkataba wa DPW, kuna mahali alitoa mfano kwamba, hata serikali ya awamu ya nne ilitaka kuiuza bandari, bahati nzuri kwetu, yule aliyewapa hiyo taarifa upinzani wakati ule, alifukuzwa kazi.
Kitendo cha kumfukuza kazi yule whistleblower tayari kinaonesha nia ovu iliyokuwepo wakati wa awamu ya nne kwa rasilimali zetu, sasa nikiunganisha na hicho alichoandika
Chinga One, nikiongezea na kelele zilizokuwepo kwenye mkataba wa Bandari ya Bagamoyo, naona kabisa, jamaa inawezekana wameamua kuwapa waarabu wakijua ule wa Bandari ya Bagamoyo kwao umeshakuwa mgumu.