Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

Bila shaka huu ni mwendelezo wa mafisi wa CCM kuuza rasilimali za taifa kwa manufaa finyu ya matumbo yao mapana yasiyojaa!
 
Akileta hoja za kumpinga Prof Tibaijuka nitag, nimekaa paleee.

Tatizo mafisadi wameajiri watu wa kuwatetea humu mitandaoni bila kuwapa hoja zozote zaidi ya kupayuka tu pasipo kutoa hoja watu tuwaeewe. Inasikitisha sana😢😮
Sawa neno ujinga linaweza lisiwe tusi lakini ulivyoandika linapekea kwenye tusi. Nilipata hamu sana ya kumsikiliza Prof. Tibaijuka. Kwa kiasi kikubwa ameongelea mambo makuu mawili, "interpretation" na "scope of cooperation" (Kipengele cha 4 kama alivyosema - mimi sina huo mkataba). Amenukuu kipengele hicho namba 4 kama ifuatavyo "Tanzania will inform Dubai of any opportunity ...". Mwandishi wa habari akamuuliza kuwa hicho kipengele kina shida gani? Akaishia kuongelea mambo ya "sovereignty" na kwamba yeye ni "grandmother". Kwa maoni yangu (na kama alivyohoji mwandishi wa habari) hicho kipengele mbona hakina shida yo yote kwani kuwapa taarifa Dubai siyo kusema kwamba watakachotaka tutawajibika kuwapa ("... they will just express their interest subject to our consideration..."). Kwanza hata huko kuwapa Dubai taarifa siyo lazima. Kwa hadhi ya Prof. Tibaijuka "I expected her to be more analytical rather just expressing her worries". Bahati mbaya sana mtu kama Prof. Tibaijuka akisema kitu watu wengi wanamshabikia (na pengine wengine hawana uelewa mkubwa wa mambo). Ana haki ya kutoa maoni yake lakini ni vyema kujitayarisha vizuri kwani ajue anachosema kinavuta watu wengi. Sisi wengine tunatarajia kuwa watu wa hadhi ya Prof. Tibaijuka wawe "more analytical" badala ya kusema tu "wanasheria watakuja". Uzuri wa JF ni kwamba wengi tunaamini kuwa hatujulikani na kwamba tunaweza kuandika cho chote (hata matusi).
 
Magufuli ndiye aliyecheza deal ya kuua upinzani ili kule mjengoni wabaki mafisi ya CCM tu yauze nchi bila kubughudhiwa na wabunge wa upinzani.
 
Kwa wabunge wa ccm kuchukua rushwa ni jadi na kawaida yao!
Wamekuwa uzao wa rushwa kama ilivyo ccm, hiki chama kimeleta majanga na laana kubwa mno ktk nchi hii kwa mikataba mingi ya Hovyo!
Tuamke wananchi kupambana na ibilisi!
 
Kwa wabunge wa ccm kuchukua rushwa ni jadi na kawaida yao!
Wamekuwa uzao wa rushwa kama ilivyo ccm, hiki chama kimeleta majanga na laana kubwa mno ktk nchi hii kwa mikataba mingi ya Hovyo!
Tuamke wananchi kupambana na ibilisi!
Hawa watu ni zaidi ya ibilisi. Ni afadhali nchi hii ingeongozwa na shetani kuliko kuongozwa na CCM.
 
Nyie kama mmeshindwa kuandamana pigeni kimya, acha kumlaumu Magufuli hao akina mbowe walafi hata wangekuwa bungeni wangefanyaje
 

Huyu muoingo, anasema haelewi alikwenda kufanya hapohapo anasema "niliambiwa unakwenda kujifunza namna bandari zinavyoendeshwa".

Hivi mtu kama huyu anakuwaje bungeni kuwawakilisha watu.

Hata sura yake anaonesha ni bomu.

Anavyoongea anajichanganya kwa uongo. Toka January mwaka jana mbona hajayasema yote hayo?


Huyu ni wakala wa shetani.
 
Kumbe unaelewa ila unajizima data kwa makusudi? Kama unajua maana ya sovereingt ulipaswa ujue nchi kuingia mkataba wenye kipengele cha namna hiyo ni kujishushia hadhi ya kimamlaka. Hakuna nchi yeyote inayoweza kusaini mkataba wenye kipengele kinachoidhalilisha nchi kiasi hicho isipokuwa tanzania tu. Kenya, Uganda au Rwanda hawawezi kusaini mkataba wa kikahaba kama hicho. Kahaba yeye anachojali ni kujiuza kwa mtu yeyote ili apate fedha; hajali utu wske hata kidogo.
 
 
Jadili hoja usijadili mtu. Unaonesha kiwango kikubwa cha umbumbumbu
 
Magufuli ndiye aliyecheza deal ya kuua upinzani ili kule mjengoni wabaki mafisi ya CCM tu yauze nchi bila kubughudhiwa na wabunge wa upinzani.
Kwanini Samia akaacha hayo yaendelee kama hakuwa sehemu ya ule mpango?
 
Mimi sijui maana ya neno "sovereingt". Ni lugha gani hiyo? Yale yale niliyoandika ya washabiki wasiokuwa na uelewa wa kutosha. Kazi kuandika matusi tu. Kwani kuandika matusi ndo kutoa hoja? "Kikahaba" maana yake nini?
 
Huyo mtangazaji wa Wasafi ni pumbavu kabisa. Tena Kenge kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…