Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

Vitendo vya kuuza nchi? Utasubiri hadi uuzwe wewe bibi kikongwe
Kama hii nchi imeuzwa basi hakuna aliyeinunuwa zaidi ya Kanisa. Makanisa yanahodhi ardhi kuliko taasisi nyingine Tanzania6 hii.

Tena hili mama alitazane sana.
 
Kama hii nchi imeuzwa basi hakuna aliyeinunuwa zaidi ya Kanisa. Makanisa yanahodhi ardhi kuliko taasisi nyingine Tanzania6 hii.

Tena hili mama alitazane sana.
Udini umekujaa hadi unashindwa kujadili hoja ya msingi unaleta chuki zako za kuwachukia wakristo.
 
DP wakitaka kutukonga watuondolee Kodi komozi kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini
Wengi sijui hamuelewi kuwa Kodi za magari ni TRA Wala sio bandari, bandari wao Wana ushuru wao ambao sio gharama kubwa na hauobgezi chochote. TRA ndio kwenye kukomoa na Sasa hivi wameongeza tena Kodi kwenye magari
 
TRA ibinafishwe wapewe DP watuondolee Kodi komozi.Kodi kubwa makusanyo kidogo
 
Wengi sijui hamuelewi kuwa Kodi za magari ni TRA Wala sio bandari, bandari wao Wana ushuru wao ambao sio gharama kubwa na hauobgezi chochote. TRA ndio kwenye kukomoa na Sasa hivi wameongeza tena Kodi kwenye magari
Mkuu turejee kwenye mada. Hili ndio limesababisha bunge kuhongwa na DPW kuuza nchi kwa gabacholi wa kiarabu?
 
Kwanini Samia akaacha hayo yaendelee kama hakuwa sehemu ya ule mpango?
Samia naye ana lawama zake lakini Magufuli ndiye chanzo kikuu cha haya maumivu tunayopitia
 
Hawa watu ni zaidi ya ibilisi. Ni afadhali nchi hii ingeongozwa na shetani kuliko kuongozwa na CCM.
Ni zaidi ya ibilisi, nakumbuka walivyotaka kuiingiza nchi na mkataba wa Richmond wa karibu nusu bilioni dollar, nilikuwa Texas hiyo time nikaenda kuangalia hiyo address ya ofisi za Richmond, ilikuwa aibu tupu kiofisi kilikuwa ni kama mgahawa wa chai, wahindi wameiba mabilioni kwa ofisi za kwenye mikoba wanayozunguka nayo, CCM ni wapumbavu na washamba kiwango cha SGR
 
Hawa watawala nakwambia hawana tafauti na Lucifer. Ndio maana nchi imelaaniwa kila siku watu tunakimbizana kama mbwa kwa maslahi ya mafisi wachache wanaotamani kufakamia rasilimali zote za taifa hili. Mungu anawaona hawa mashetani kutoka kuzimu.
 
Hii naitunza ina ujumbe mzito ambao tafakari yake itaeleweka karne ya 22
 
Hawa wabunge walipitishwa na Magufuli baada ya kuchakachua uchaguzi wa 2020. Mungu anamuona huko aliko.
Tushawah kuwa na meremeta, EPA, Richmond, Dowans, IPTL na wabunge walikuwepo na wala hawakupishwa na Magufuli! Nakumbuka kipindi cha IPTL Rais Kikwete alikuwa akiwatete IPTL
 
Wakala wa shetani ni mama yako mvaa majuba mwenzako aliyeuza nchi kwa waarabu wenzake wafuga majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…