Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Rwakatare ameanza kuwa mbunge,Mbowe bado yupo marangu anakunywa mbege acha fiks
Nikimkumbuka rwakatare Enzi zile yuko ni Ile Nissan March alipokuwa anaingiza cdm hata nuru hakuwa nayo, Chama kimembeba hadi akapata ubunge...
 
Kampigania wapi? Acha kuwa nyumbu

Lwakatare amekuwa Mbunge Mbowe bado yupo marangu anakunywa mbege acha kupotosha
Mbowe kampigania sana lwakatare nashangaa lwakatare kwanini Ajitambui.
 
Kabla ya 2015 CHADEMA ilikuwa taasisi ya umma ambayo ilikuwa inahamasisha umma mpaka CCM ikafikia kujivua magamba. Lakini katikati ya 2015 CHADEMA iligeuka kuwa kampuni ya mtu binafsi ikiwa na lengo la kutimiza maagazio ya mmiliki wake tu. Kwa hiyo kuhamasiha umma kukageuka kuwa ni kugoma, kuandamana na kufanya vurugu hata pale pasipokuwa na ulazima.
Wewe jamaa tangu magufail kaingia kusikomfaa, akili zako zimehamia chini. Acheni ushabiki wa kibwege kama wa gwajiboy.
 
Maana ya "wengi wape " ndo demokrasia yenyewe. Ukiondoa hiyo maana yake demokrasia itapoteza maana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi unajua Tanzania iliingiaje kwenye Multipartism? Tume iliyopewa kutafuta maoni ya Watz Bara na Visiwani ilikuja na data zifuatazo:
  1. Chama kimoja.....80%
  2. Vyama vingi.........20%
Lakini kwa hikma alizokuwa nazo Baba wa Taifa akaagiza tuingie Vyama vingi.
Wakti mwingine Democracy haiko kama unavofikiri wewe! Inahitaji Viongozi makini,wenye busara na hikma ya Hali ya Juu.Siyo akili kama za kina Stone Chattle!
 
Rwakatare ameanza kuwa mbunge,Mbowe bado yupo marangu anakunywa mbege acha fiks
Mwaka 1995 Mbowe alikuwa Marangu anakunywa Mbege? Wakati mwingine huwa nawasikitikia sana kwa yale mnayoyaandika humu?

Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency. He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's
 
Back
Top Bottom