sawa kufukuza wanachama sio tatizo vyama vyote hufanya hivyo lakini kwa kosa gani kubwa?Mimi nawashangaa Hawa Mafisi wa Lumumba Street. Wao wamesha sahau maamuzi magumu ya Mwenyekiti wao Jiwe kuhusu sakata la kina Membe, Mzee Makamba, Kinena, Nape,Januari etc....! Wakifanya wao ni nidhamu ya chama inaxingatiwa lakini wakifanya CHADEMA.....umbeya mwingi Sana!
Kila Chama kina sheria,Kanuni na taratibu za kufuata kwa yeyote anayekiuka maelekezo ya Chama.
After all Bunge la Bajeti linamalixika mwisho wa mwezi na linavunjiliwa mbali, so far so good. There's nothing to loose.
NCCR -MAGEUZI wao walishaahidiwa wabunge 20 ili waweze kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni!!!Naona wamepanga kuwaongezea NCCR wagombea!
1995 alikuwa DJ billsMwaka 1995 Mbowe alikuwa Marangu anakunywa Mbege??? Wakati mwingine huwa nawasikitikia sana kwa yale mnayoyaandika humu?
Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency. He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's
Hakuna chama kisicho Na utaratibu Mkuu, vinginevyo Ni bora kutojiunga Na chama.Wale wabunge walichemka kuingia bungeni.Sasa Boss, hapo ni nani atakayetumia Busara?
Ni aibu kwamba Maelezo ya wote waliohama chama yanaonekana yako sahihi. Kwamba ukitaka kubaki CHADEMA, lazima utii amri za Mbowe...
Kubenea alisoma upepo nampongeza, kupinga maamuzi chama nje ya vikao Ni usaliti.Nampongeza kubenea kwa kukaa kimya Na kutii agizo LA chama chake.Moyo wangu umefarijika sana bado kubenea na lijualikali
Kumbe CCM kuna matakataka?Sikujua aisee.[emoji23] [emoji23] Kwahiyo kumbe takataka zilizoko ccm na chadema zipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
HaahaaaRwakatare ameanza kuwa mbunge,Mbowe bado yupo marangu anakunywa mbege acha fiks
NCHI IPO KWENYE HARAKATI ZA KUPAMBANA NA CORONA WAO WAPO BUSY NA KUFUTA WABUNGE UANACHANA HAWA HAWANA UCHUNGU NA HILI TAIFA TUWAPUUZE WAMETUMWA NA MABEBERU
Mkuu tatizo Ni katiba yetu ya nchi inakipa chama mamlaka makubwa sana dhidi ya mbunge kuliko chama kilichomchaguaUonevu tu umefanyika. Kwani kati ya mbunge anatakiwa kuwa Loyal kwa Chama au Wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusambaza taarifa isiyo credible na ww unakuwa kwenye hyo chain mkuu!!Una matataizo ya uelewa; na sababu kubwa inatokana na ama kutokujua kusoma au kusoma mambo ukiwa na mindeset fulani. Wengine tumekomalia katika kusoma substance, siyo ushabiki kama unavyokomaa hapa...
Chadema wakifukuza ni umakini. CCM wakifukuza ni udikteta! Ahahahahah!CHADEMA ni chama makini sana!!
Kutetea hawa wabunge waasi inahitaji uwe Na moyo mgumu sana kwa kweli.tulisema tukabezwa humu, kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi, chadema itakuwa imebaki na mwenyekiti tu hawa wote waliofukuzwa ndio waliokuwa wajenzi wa chadema 2010_2015 eti sasahivi ndio wamekuwa wasaliti. Tabu ya Mbowe ataki kuhambiwa ukweli kuwa ndiye alialibu chadema Kwa gia yake ya angani. Sasa wanatafunana wenyewe Kwa wenyewe watamalizana. Mungu ibariki Tanzania
Kuwatetea kina silinde unahitaji uwe Na moyo Mkuu sana ule Ni usaliti, hats kama wangefanya wabunge Wa CCM ingekuwa hivo.Niliandika hapa siku si nyingi, kwamba chadema itaingia kwenye wiki mbili ngumu mno. Naona yameaza kutokea. Mwenyekiti anapaswa mawazo yake yawe shirikishi, huwezi kutoa maamuzi kama vile unaowaongoza ni watoto wa nursery...
Video nzima wanamsifia Magufuli eti USA wanamuiga!!Nimeipata hii kutoka Hai
Oh! Kumbe mnalijua hilo Leo,vipi kuhusu camillius alionewa kama silinde?Ni bora kuwa na adui nyumbani kwako kuliko kuwa na rafiki Adui.