Ikhojo
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 527
- 448
Hayo maamuzi magumu we umeyajuaje mkuu...!Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu mkuu wa chama hicho Mh. J J Mnyika.
Source: Tanzania Daima
Sent using Jamii Forums mobile app