Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Supika ataendelea kuwatambua mpaka mwisho wa ubunge wao (kama alivyofanya kwa yule jamaa aliyejivua uanachama. Rwakatare keshasema hatogombea tena. Silinde nadhani safari ua kuhama ilishaiva kitambo

Siasa hizi za TZ ni pasua kichwa
 
Nikimkumbuka rwakatare Enzi zile yuko ni Ile Nissan March alipokuwa anaingiza cdm hata nuru hakuwa nayo, Chama kimembeba hadi akapata ubunge
Nuru ikamrudia, Sasa anataka kuvimbiana na watu
Huyu silinde naye yuko chuo anaenda kwenye chama
Hana A wala Be upepo wa slaa ule akapata ubunge
Kuna wakati fulani Kuna watu tunawacheki tu!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silinde, Rwakatare, Selasini watakuja CCM na naamini CCM itawapokea wabunge makini hawa. Karibuni CCM
 
Silunde ni mpumbavu Sana kijana halafu unakuwa msaliti.
Sijawahi kuwa na mashaka na chadema.
 
Bado chadema inamvuto Sana kwa Jamii huo ndio ukweli watu wanaiamini Kama taasisi pekee inayotetea wanyonge. Silinde na komu ndio mshakufa kisiasa hivyo.
 
Kama itakuwa ni kuwafukuza uanachama watu, hayo hayatakuwa maamuzi magumu. Tujifunze kukubali maamuzi yanayopingana na misimamo yetu. Sometimes hii ya “wengi wape” haina mantiki
Hio hata Sisiemu wameishindwa ndio sababu waliwapokonya kadi
1. Sofia Simba (ingawa alirejeshewa uanachama)
2. Benard Membe
3. Ramadhani Madabida (alirejeshewa uanachama)

Siasa ni ngumu
 
Mwambieni huyo M/kiti wa kudumu kwamba, hata CCM Wakati wakiwa peke Yao bila ya uwepo wa Vyama pinzani, kulikuwa na Upinzani ndani wao Kwa wao, na hata sasa kinachofanyika ni upinani wa ndani Kwa ndani, na ili Upinzani udhibitiwe, ni meza huru

Kusikia hoja za kila upande pindi tu kunapotokea sintofahamu, migogoro isikae bila kushughirikiwa Kwa muda mrefu

La sivyo, hiyo siyo dawa, soon mtatimua wengine, na huenda ikawa ni Kesho Tu hapo

Tengenezeni Chama cha kila mtu na sio Chama cha wachache, wengine ni kusikiliza Tu, haitawezekana, kitakachofuata hataamini M/kiti wa kudumu
 
Back
Top Bottom