DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mbowe kampigania sana lwakatare nashangaa lwakatare kwanini Ajitambui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watanzania imekua ugali moto mboga moto.Kipimo cha kutokuwa na Akili timamu ni kushabikia CCM na CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwakatare huyuhuyu ambaye alikuwa mbunge since 2000 kupitia CUF.Nikimkumbuka rwakatare Enzi zile yuko ni Ile Nissan March alipokuwa anaingiza CHADEMA hata nuru hakuwa nayo, Chama kimembeba hadi akapata ubunge...
Anatoka chuo hana lolote mwili kama fidodidoSilunde ni mpumbavu Sana kijana halafu unakuwa msaliti.
Sijawahi kuwa na mashaka na chadema.
Hahaah pale bungeni sidhani kama watatoka hao…...Ndugayai atapangua hoja zote na atawarudisha bungeni ngoja muone ni kama kwa Mwambe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga kabisa Hana shukrani.Anatoka chuo hana lolote mwili kama fidodido
Chama kimemlea, kimempa nafasi
Yaani unatoka chuo ajira yako ya kwanza unakula ubunge, Leo hii unavimbiana na waliyokukuza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao huwa hawaniambiagi loloteWalipokelewa wakiwa wanapanda daladala na sasa wamepata mashangingi wanaringaringa tu hawana habari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alipotoka cuf alikaa sna benchiRwakatare huyuhuyu ambaye alikuwa mbunge since 2000 kupitia CUF.
Umakini gani? Kuzuia watu wasiwakikishe wananchi wao?CHADEMA ni chama makini sana!!
hawa waondoke watasahaulika tu mapema mbonaBusara ilikuwa ni kuwaacha tu ndani ya Chama wajipoteze wenyewe, kwa sasa ni kama mmewapa kiki hivi.