Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge 20 alioahidiw Mbatia ndio hao wanaelekea,

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wakwende.,....pumbaf zao!
Chama ndo kiliwapa Ubunge Leo wanaleta jeuri kweli? Huwa napenda sana msemo wa Kihindi:

"Taka kazi kono mbele, sasa Pata kazi kono nyuma" na Wahindi wengine huthubutu kuwaambia wanaume kuwa, badala ya kono nyuma inakuwa..." Boro mbele" Sina hakika wale Watumishi wa kike wao huwa ni nini....mbele baada ya kupata kazi!!!
 
Uamuzi mzuri sana kweli Chadema ni chama makini sana.Imagine kama Wabunge wa CCM ndio wangeambiwa na mwenyekiti wao msiingie Bungeni mka ji isolate wenyewe majumbani mwenu je wangeonekana wakaidi kama hawa wapumbavu?
 
Eti kwa maamzi ya chama hahahhahahaha hivi siku Mbowe anatoa agizo la wabunge kutohudhuria vikao vya bunge hiyo kamati ya chama iliketi wapi na saa ngapi??? Yaaani huu ndo upumbavu wa vyama vya siasa na viongozi wake, yaani utoe maamzi wewe ukiwa just a single entity then uyaite maamzi ya chama??? Halafu uje ushinikize vikao kuonyesha unademokrasia ufukuze watu hahahahahha chadema hii hatari


Hakuna demokrasia hata zero hakuna , narudia tena chadema hakuna demokrasia , endeleeni mashabiki kumwabudu mzee baba , mkiambiwa macho yanafyatuka kama chura aliyekoswa na gari bara barani mtaelewa tu ipo siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maagizo ya mwenyekiti ni official directive ya chama ambayo kila mwanachama anapaswa kusimamia.

Kwa hiyo kuna mawili wangekataa kupitia vikao halali vya chama hyo directive ambapo silinde ange raise hyo hoja kma katibu wa wabunge kwamba maagizo hayo ya chama wameyakataa.

Ingetokea wamekataliwa na huko basi kuna mawili wajiuzuli nafasi zao au wakubaliane na maagizo ya chama lakini sio kwenda tu kwenye media na kulalamika ilihali kuna njia za kichama kushughulika.

Ni lazima chama kiwe na nidhamu otherwise itaweka precedence mbaya.
 
NCCR Mageuzi inarejea taratibu sasa.
Vyama mbadala makini ni (CHADEMA na ACT) .Hako ka NCCR kashapitwa na wakati.Na hata tegemeo la kupata wabunge wa ridhaa litagonga mwamba.Hata kwenye kampeni hawatakua na mvuto wowote nakuhakikishia
 
Naona hapa wanaoumia ni washabiki,Kocha hana malengo ya kuisaidia timu yake bali kuwasaidia timu pinzani,mambo yataenda hivi mwisho wa siku hata yeye atataka akae pembeni timu iongozwe na kocha aliyetoka timu pinzani huku ikijulikana wazi kuwa kocha yule ni mnazi wa timu yake na mwanachama mtiifu.

hivyo basi hapa hakuna ligi wala mashindano yeyote bali ni biashara ile ile ilimradi tu hela za wadhamini na mashabiki ziliwe na timu hizi na ionekanike nchi hii nayo inaligi yenye kushirikisha timu kadhaa na mshindi anapatikana kwa mashindano hayo.

Huo ni mtizamo wangu, Maandiko yanasema"CHAKULA NI KWA TUMBO NA TUMBO NI KWA CHAKULA ILA VYOTE VITAANGAMIZWA"

Endeleeni kuweka mikakati ya kula kutoka kwa mashabiki.
 
Maamuzi ya kamati kuu.Tujiepushe na mikusanyiko isiyo ya lazima Rajab Hamza miaka SELASINI yupo mitaani.
 
Busara ilikuwa ni kuwaacha tu ndani ya Chama wajipoteze wenyewe, kwa sasa ni kama mmewapa kiki hivi.
Sasa Boss, hapo ni nani atakayetumia Busara? Ni aibu kwamba Maelezo ya wote waliohama chama yanaonekana yako sahihi. Kwamba ukitaka kubaki CHADEMA, lazima utii amri za Mbowe.

Hii ni hali wanayoiga toka CCM lakini, hawajitambui. CCM ina legacy ya chama kimoja na chama kushika hatamu. Vyama vya mageuzi kama CHADEMA walistahili kuwa watu wenye sayansi ya siasa na uwezo mkubwa wa ufahamu.

Kwa mtindo huu siyo tena jambo la kujiuliza eti waliohama walinunuliwa au hapana! Vijana walidhani ni chama kinachowafaa kwa mageuzi kumbe wapi! Utafuata mageuzi wakati kuna mtu ambaye hapingwi?
 
MAGUFULI:Mpaka 2020 nitafuta kabisa upinzani

Hawezi kufuta Upinzani maana upo kulingana na KATIBA na SHERIA za nji hii. Nyie endeleeni kumshangilia Magufuli wenu akiendelea KUSIGINA KATIBA lakini ipo siku atalipia haya maovu anaowafanyia Watz! Jiulize Al- Bashir wa Sudan Yuko wapi leo?
 
Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Wa kuwaachia wapo wengi tu ndio maana kamsogeza mnyika ukatibu na Lissu makamu yeyote kati ya hao anaweza kuibeba CHADEMA kwa miaka 10 ijayo.

Zitto alikua insubordinate, chama kilimvumilia sana ila kiukweli alipata alichostahili. Ilifika kipindi zitto anakejeli chama wazi wazi utadhani yye hayupo CHADEMA. Mara chama kikaguliwe na CAG utadhani yye sio Naibu KM wa kutekeleza hilo, mara mitambo ya dowans iletwe ilihali chama kiliweka msimamo wa kupinga!!

Kiufupi Zitto alishakua mkubwa kuliko chama ilikua either wampe uenyekiti au autafute kwingine. Angekua loyal kma Mnyika au Lisu leo hii angekua KUB
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare baada ya Wabunge hao kukiuka agizo la Chama na kukijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama...

Chadema kipo ukingoni
 
Ata ivyo wamechelewa kuwafukuza na huyu msabaha afukuzwe tu, Hivyo ndivyo chama kama Taasisi inavyofanya kazi bora kubaki watu 4 tu walio na nguvu imara.

Wananchi tupo nyuma yenu, #Chadema kwanza, #Kataa Corona
 
Hata Mugabe alikosa mtu wa kumuachia uongozi kilichofuata kinajulikana!
Kitakacho tokea institution ita fall nani wakiwaambia mwenyekiti wao sio sawa , tunapotea. Wanaopinga ni vidagaa tu anafuta uanachama tu ,waliobaki wapo loyal kwake Ila philosophy zao kwenye siasa za upinzani ni ndogo,na hazina uhakika na hawa network nje ya chama chao.

Sasa unaweza kumpa uenyekiti Devota Minja au Peter Msigwa ambae yupo vocal Ila content ni hana ?Yaani angalau Tundu Lisu nae Mgonjwa.
 
Chama cha ma mbumbumbu. Mnalazimisha Wabunge kutokwenda Bungeni kutuwakilisha Wapoga kura wao halafu mnajinasibu eti mna demokrasia.

Chadema ni chama cha wahuni wachache tu hakuna demokrasia wala nini, ukipinganga na fikra za Mwenyekiti tu ni kosa la kufukuzwa uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom