Hayo maamuzi magumu we umeyajuaje mkuu...!Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu mkuu wa chama hicho Mh. J J Mnyika.
Source: Tanzania Daima
Utajibiwa na mhariri wa Tanzania Daima!
Ndiyo maana uko TLPKipimo cha kutokuwa na Akili timamu ni kushabikia CCM na CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli yako ina maana gani kwetu sisi watanzania Maana tunaongozwa na CCM hii hiii unayosema kuishabikia ni utaahira...wakati ndiyo iliyounda Serikali.Kipimo cha kutokuwa na Akili timamu ni kushabikia CCM na CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point kabisaKama itakuwa ni kuwafukuza uanachama watu, hayo hayatakuwa maamuzi magumu. Tujifunze kukubali maamuzi yanayopingaba na misimamo yetu. Sometimes hii ya “wengi wape” haina mantiki
Ni makosa makubwa kuendelea kuamini kwenye maisha kwamba watu wote unaoweza kufanya nao urafiki wasiwe wasaliti, Eti watu wote ambao unaweza kujenga nao Chama kusiwemo wasaliti!! Huo ni Ujinga mkubwa,...
Kipimo cha kutokuwa na Akili timamu ni kushabikia CCM na CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili mradi tu uwe wa kwanza kupost. Tena unavyopenda habari za CHADEMA. Hapo roho yako kwatu. Bure kabisa!Karibu.
Up dates;
Karibu.
Up dates;
Wapo wabunge waliotimuliwa na wengine wametakiwa kujieleza kwa kukiuka maamuzi ya chama ya kujitenga na bunge kwa siku 14.
Tumia akili wewe acha kutumia korodaninasikia wamempitisha Magufuli kuwa mgombea wao wa kiti cha urais
Anaungurumia wapi?Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno.
Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu mkuu wa chama hicho Mh. J J Mnyika.
Source: Tanzania Daima
Bwashee kumbe upo?!!!....... Poleni bhana mawakili wasomi mliosoma sana pale The hill!Ili mradi tu uwe wa kwanza kupost. Tena unavyopenda habari za CHADEMA. Hapo roho yako kwatu. Bure kabisa!
Bwashee sisi ndio waasisi wa Chadema pale Kisutu majamatini kwenye ofisi za rip Ndesamburo!Aisee mkuu wewe hapa Jf nimtu wa kwanza kupenda siasa sana , nafikiri wewe mkuu siasa kwako niburudani tosha ..nakukubari