Acha wakwende.,....pumbaf zao!
usinisumbue kwa ujira wako wa buku 7.Umakini gani? Kuzuia watu wasiwakikishe wananchi wao?
Punguza hasira mkuu, au ndio mlichoambiwa kuja kuzima maoni ya watu Kwa mitusi mkuu
Mkuu maagizo ya mwenyekiti ni official directive ya chama ambayo kila mwanachama anapaswa kusimamia.Eti kwa maamzi ya chama hahahhahahaha hivi siku Mbowe anatoa agizo la wabunge kutohudhuria vikao vya bunge hiyo kamati ya chama iliketi wapi na saa ngapi??? Yaaani huu ndo upumbavu wa vyama vya siasa na viongozi wake, yaani utoe maamzi wewe ukiwa just a single entity then uyaite maamzi ya chama??? Halafu uje ushinikize vikao kuonyesha unademokrasia ufukuze watu hahahahahha chadema hii hatari
Hakuna demokrasia hata zero hakuna , narudia tena chadema hakuna demokrasia , endeleeni mashabiki kumwabudu mzee baba , mkiambiwa macho yanafyatuka kama chura aliyekoswa na gari bara barani mtaelewa tu ipo siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama mbadala makini ni (CHADEMA na ACT) .Hako ka NCCR kashapitwa na wakati.Na hata tegemeo la kupata wabunge wa ridhaa litagonga mwamba.Hata kwenye kampeni hawatakua na mvuto wowote nakuhakikishiaNCCR Mageuzi inarejea taratibu sasa.
Sasa Boss, hapo ni nani atakayetumia Busara? Ni aibu kwamba Maelezo ya wote waliohama chama yanaonekana yako sahihi. Kwamba ukitaka kubaki CHADEMA, lazima utii amri za Mbowe.Busara ilikuwa ni kuwaacha tu ndani ya Chama wajipoteze wenyewe, kwa sasa ni kama mmewapa kiki hivi.
Daaah, mkuu, hapo unamwambia yuleee au ni Nani tena mkuuBwege ni mtu mjinga.....Sasa ukiitwa Bwege ni Tusi?
MAGUFULI:Mpaka 2020 nitafuta kabisa upinzani
Wa kuwaachia wapo wengi tu ndio maana kamsogeza mnyika ukatibu na Lissu makamu yeyote kati ya hao anaweza kuibeba CHADEMA kwa miaka 10 ijayo.Kama kuna mtu Mbowe ana mmis sana ni Zitto. Mbowe alishachoka kuwa mwenyekiti Ila hana mtu wa kumuachia chama. Yaani hana kiongozi rafiki ambaye ana mthubutu kumshauri ukweli.Chama kimejaa watu waoga mno. Hii tofauti kwa chama cha mapinduzi,wapi watu wengi ambao hawa muogopi yeyote ,CCM inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja ,yaani kifupi kuilinda nchi.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare baada ya Wabunge hao kukiuka agizo la Chama na kukijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama...
Kitakacho tokea institution ita fall nani wakiwaambia mwenyekiti wao sio sawa , tunapotea. Wanaopinga ni vidagaa tu anafuta uanachama tu ,waliobaki wapo loyal kwake Ila philosophy zao kwenye siasa za upinzani ni ndogo,na hazina uhakika na hawa network nje ya chama chao.Hata Mugabe alikosa mtu wa kumuachia uongozi kilichofuata kinajulikana!
Kichaa agombee Urais? Labda kwa mataahira ya CCMnasikia wamempitisha Magufuli kuwa mgombea wao wa kiti cha urais