Mtumishi wa umma hazuiliwi kuwa mwanacha wa chama cha siasa, ila anazuiliwa kuwa kiongozi katika chama cha siasa lakini pia hatakiwi kufanya siasa katika sehemu yake ya kazi!.Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.
Kuwa mpole tunaratibu hizi harakati kwa kufuata protocols sio kukurupuka tu lipo wimbi zito la viongozi waandamizi kutoka chadema wataanza kuingia ccm kwa utaratibu maalum hatutaki shughuli ipoe ni kampa kampa kampa tenaHata Fred Mpendazoe alitoswa na Samwel Sitta, Mwakyembe na Nape Nnauye wakati wa kuanzishwaji wa CCJ.
Ametoswa huyo na kama hajatoswa, awataje majina
Professor Safari ni mmoja wapo kati ya wengi wengine watakaoingia ccmHuyu professor akihama ntamdharau sana
Ma proffessor na ma Dr wetu, siasa zinawasubua sana there too bookish hawajui kujenga vyama na kutoa mifano kwa wengine most of them are "political opportunists"Professor Safari ni mmoja wapo kati ya wengi wengine watakaoingia ccm
Kuna Mwanamke asiye wa THAMANI?Hata Kama amekosea, usimtaje Mzazi wake, Mama ni wa thamani kubwa Sana aiseee. Mabishano ya jamvini yasihusishe Wazazi, nashauri tu Kaka Mjumbe ila huenda Invisible akakushauri vizuri zaidi
Basi yaishe Nisamehe saaana aiseee!!Kuna Mwanamke asiye wa THAMANI?
naona una bembeleza nipewe Ban..[emoji2][emoji2][emoji2]
Acheni dharau kwa Mwanamke, huyo anayedhani ni mbea na anastahili kuitwa hivyo ni mama wa Mtu