Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.

Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.

Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.

Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.

Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania
Wasubiri kuaibika, wahame chama, then wagombee kupitia chama kingine, hapo maendeleo yanapimwa kwa kuhama chama? Wananchi kama wanajitambua hawawezi kuwachagua tena kwani kuna harufu ya ujinga, issue ilikuwa kuwa bungeni kutatua matatizo ya wananchi, sasa ukijiondoa sasa utachaguliwa kwa ajili ya nini? Kweli mtaji wa siasa ni ignorance
 
wahame tu ni haki yao nawajua wawili kutoka chama A na wawili kutoka chama b
 
Mbona wanachelewa? waondoke tu, mwisho wa siku makinikia yote yataisha tutabaki na dhabu safiiii.
 
Halaiser: Una elimu gani ndugu yangu? Kumbe na wewe hujui mfumo wa utumishi Tanzania? Cheo cha uwaziri na ukuu wa mkoa au wilaya ni cha Kisiasa. Huwezi kuwa waziri bila kuwa mbunge wa chama cha siasa. Tofauti na katibu mkuu wa wizara ambao ni wa utaalamu. Fanya bidii kujua muundo wa utumishi wa umma katika nchi yako. vinginevyo unatia aibu.
 
Nimenunua luku elfu 40 nifanye kaz nipate faida hata elfu kumi wamekata umeme.nikichek kwenye hii karatasi ya luku serikali imelamba chao hapa tayari,siku inaisha nashindwa fanya kazi yangu napata hasira kweli
Mkuu kaziii ipooo. Na badoo TRA wanatakaa chaoo wakijaa hapoo
 
Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.

Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.

Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.

Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.

Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania
Tutajie majina siyo kusubiri mtu keshahama ndo mnajifanya eti tulimtabiria kuhama..!!
 
Siasa za kihuni... unazihuzulu alafu unagombea tena ni kucheza na wapiga kura.. tuwakatae
 
Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama.

Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka katika kikao chao cha siri.

Pamoja na kwamba maamuzi ya mwisho yatatolewa hivi karibuni kuhusu namna ya kujitangaza kuhama chama chao, bado kuna shinikizo kuwa wajitangaze kwa wakati mmoja ila wapo wanaotamani kila mtu akajitangazie jimboni kwake.

Wakihama, watarejea tena kugombea kupitia chama watakachokwenda. Watu wanaamka, na wanafanya msimu wa kampeni kuanza. Kila wanapojiengua tume ya uchaguzi inabidi kutangaza utaratibu wa uchaguzi.

Tuendelee kusubiri.
Mungu ibariki Tanzania

Nitafurahi sana tulimiss peoples Tena kampeni za mbunge jimbo zima embu wafanye haraka wasomeshwe siasa za kileo
 
Mkuu kaziii ipooo. Na badoo TRA wanatakaa chaoo wakijaa hapoo
Shidaa mkuu.afu anatokae mjinga anakwambia "ccm chama dume"tumejiajiri bado mambo yapo hivi wanashindwa kutuwezesha kwa umeme wa uhakika tu tuulipie tufanye kazi tupate chochote.
 
Wanaothubutu kuuachia ubunge kama alivyofanya Nyalandu hapa duniani ni wachache mno,
udiwani sawa lakini ubunge ni ajili nono nono,kuacha inahitaji ujipange
 
Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.
Ikiwa wanajeshi na majaji ni wana CCM ijekuwa katibu mkuu!
 
Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.
Hiyo ndio CCM na huo ndio UZALENDO uliotukuka!!!
Tanzania ya viwanda
 
Back
Top Bottom