Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

Ndio Tanzania hii kama huijui tulia tu baba wizi kila kona hao Wabunge ukuwoana wameshupalia jambo ujue kuna hela yaani wanatia aibu sana hao watu wanakera mnoo..
 
Acha wafaidi mema ya mama Tanzania wenyewe ndio wenye inchi SISI tu wapangaji
 
Kwa serikali hii lolote linawezeka, haishangazi!.
Serikali hii ni zaidi ya dhaifu hali.
 

Nchi inakoelekea utadhani tumelongwa.

Kumpata Rais kupitia Kile kitabu cha mwaka 1977 imetungarimu sana watanganyika.
Kuuliza Sio ujinga, Dr Bashiru yuko kwenye hili bunge au yuko likizo?

Au ameamua kurudi CUF aliko kulia na kuzaliwa huko?
 
Halafu kuna vimburu wa ccm wakiwa na kandambili kwenye miguu iliyopasuka magwambara kama farasi watakao kuja hapa kusema ccm ina haki. Walizojigawia ni kodi zetu nyie vimburu!
 
Inawezekanaje?

✅Tuna wabunge wangapi kwa sasa X 10,000,000,is it possible?

✅Ama semina huwa zinalenga kundi fulani la wabunge?

✅Bila posho husika wabunge hawawezi kuhudhuria semina?

✅Posho husika ni kichocheo cha uelewa wa wabunge wetu?

✅Je ni utaratibu kwa kila wizara kutoa,Posho,Takrima ktk kipindi kama hiki?

✅Nini wajibu,Madaraka,Nguvu na Mamlaka ya bunge Katika kioindi cha bajeti?

✅Nini mantiki,Umuhimu wa semina kwa wabunge toka kwa wizara tarajiwa ktk kuwakirisha bajeti?

✅Posho zinazotolewa zipo kwenye bajeti iliopitishwa na bunge mwaka 2022/2023?



Mungu Mwenyezi atujalie kufumbuliwa macho na fahamu zetu
 
Kha we unasemaje! wapewe tu hata kama ni peanut on their standards?! wengine uharo tu aisee
 
Hao ndo aina ya wabunge alotuachia Mwendazake km legacy
 
Kwa nini wahongwe? Kwani Bajeti ya Nishati Ina shida zipi Hadi kuwe na ulazima wa kuhongwa?
 
wabunge wengi wamejiuliza hivi TAKUKURU iko wapi kwanini isimuhoji Waziri Makamba kwamba fedha hizo anazohonga wabunge na majiko hayo anayogawa amezipata wapi,
Unaweza shangaa na TAKUKURU nao wamelambishwa, Hii nchi Mungu ndiye ataamua hatima yake baada ya ile ya March 17!
 
NACHUKIA SANA "THE STATE"INAPOKAAA KIMYA WAKATI JAMHURI INADHALILIKA!!

IHIIIIIIIIIH!!!!!IN JPM'S VOICE!
 
Sawa kiongozi tupe ushahidi tumtie nguvuni haraka!
ushahidi wa kwanza majiko ya gesi aliyogawa kwa Wabunge wote ikiwa bajeti yake ni wiki hii na Wizara ya Nishati imekuwa ikilalamikiwa tangu awe waziri mwingine endeeleni kuchunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…