Wabunge wataka Condester Sichwale aliyetolewa nje kisa mavazi aombwe radhi

Hakuna ulazima wa kusema mbuge wa ccm,maana binge zima ni ccm,inatosha tu kusema mbunge wa Jimbo gani basi
 
Kwa kumchukua Magufuli, Mungu ametenda haki kabisa. Huwezi kuwafanya watu wajinga kwamba wewe ndio mwenye akili wa kuwachagulia watu viongozi wa kuwaongoza tena huku ukiwakejeli.

Utukufu wa Mungu utadumu milele na milele, Amina.
 
Sketi ikibana sio shida ila suluali ikibana ni shida, mupitie upya kanuni ya mavazi! Pia naona mavazi yote yaruhusiwe tu, cha msingi suluali isibane kwenye lisani au kwa mbele, spika afutilie ilo tu!
Kwani ikibana huko mbele au nyuma kuna tatizo gani? Mbunge ameenda kujadili hoja au kuangalia matako?
 
Unamaanisha yule mzee ni muislamu?
Hivi wanawake wasiokuwa waislamu hawavai hijabu? Pale bungeni hapakuwa na wanawake wengine ambao hawakuvaa hijabu? Kwanini amseme yule tu
Hujamuona na barakashia?
 
Kwa hiyo kila apatapo nafasi ya kuongea AONGELEE MRADI WENU WA MAJI hata kama hoja mezani ni MADINI ama WIZARA YA MICHEZO ?!!!
 
Kwa mtazamo wangu nimeona pana aidha:-
1. Ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga. Kumbuka Spika ni kama si mwanachama basi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba.
2. Mfumo dume. Hapa na maana mtoa hoja kwa sababu zake tu ni mwanaume na Spika ni mwanaume nae hakumwangusha, angelikuwa Spika ni jinsia ya kike angejiridhisha kwanza kabla ya kutoa maamuzi.
 
Kwa nini mbunge huyo atake huyo dada tu ndio avae vazi la Kiislam ?!!!

Na kwanini iwe jana tu ikiwa siku zote huwa anamuona ?!!

Ama siku nyinginezo huyo mh.Condester huwa anavaa hilo vazi la Kiislam alitakalo mbunge wa Nyang'wahale kiasi kwamba huridhika nafsi yake ?!!!

Je alipoomba mwongozo wa kikanuni na ikiwa SPIKA hajaukubali ,mbunge Condester angetolewa nje?!!

Je mbunge Condester ametolewa nje na mbunge wa Nyang'wahale ama na KITI cha mh.Spika?!!!
 
Ungemuuliza kwani kuna dini inayoruhusu kuvaa uchi?
Tuache ya huyo mbunge, kuna dini inaruhusu?
Siwezi kumuuliza Kwani mimi si muumini wa hizo mada za "udini" anazozipenda sana huyo jaji mfawidhi....

Huyu angekuwa Jaji wa ukweli angehukumu na kubagua watu "kidini" 🤣🤣

Kweli Afrika imejaa "mateka" wa hayo mambo ya "udini"....
 
Hahahaaaa! Mzee wa Nyang'wale kaingia cha kike.

Hivi jimbo la Nyang'wale liko mkoa wa Kilimanjaro?!

Huyo Mbunge wakampime huenda akawa na matatizo ya mfadhaiko kila anapoona chura! haiwezekani mama wa watu kavaa kawaida kabisa yeye akamsagia kunguni kwa Sipika
 
Huyo Mbunge wakampime huenda akawa na matatizo ya mfadhaiko kila anapoona chura! haiwezekani mama wa watu kavaa kawaida kabisa yeye akamsagia kunguni kwa Sipika
🤣🤣mmh mbona hilo "lichura "usemalo sijaliona ?!!

Kwani humo ndani hakuna wenye hizo "chura" zaidi ya "mlengwa" ?!!
 
Mbungi za mbunge za kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…