Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Waende tu hao makinikia, dhahabu safi itabaki.
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Kundi La Ukawa Ndio Kundi Gani?
 
Hivi huyu Mbowe alikumegea mkeo ?
 
Hivi huyu Mbowe alikumegea mkeo ?
Dikteta Mbowe Amebaka Demokrasia ndani ya Chama .
Anastahili kufungwa kifungo cha maisha ili iwe funzo kwa madikteta wengine kwenye vyama vya upinzani.

Mbowe ameamua kurudi CCM Kimya kimya ndio maana humsikii akizungumza chochote.
Anaunga mkono 100/100 .
Anawarubuni wenzake waropoke hovyo na kujifanya wanapinga pinga lakini Yeye anaunga mkono juhudi za Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Kwa taarifa yako hakuna kudhoofika kitu. Itikadi hukaa moyoni na kwa taarifa yako zaidi ya wabunge 60% wa ccm hawaiungi mkono ccm ya sasa lakini wanalinda kazi zao tuu
 
Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Tupo kwenye.korosho kwa sasa tunaomba Mungu tupate pesa yetu angalau tu-break-even
 
Wafanye haraka mwisho wa usajili ni tarehe 15/11/2018.
 
Utahangaika sana na Mbowe badala ya kuhangaikia maisha yako. Mbowe tumemchagua sisi na sisi ndiyo wa kumuondoa wala siyo nyie mafisiem, chama lenu limeshindwa kuongoza nchi kwa mujibu wa sheria mnatumia vitisho na kununua wapinzani uchwara. Ila nina wasiwasi na wewe kuhusu mtazamo wako kwa huyu Mbowe labda alikumegea mkeo si bure huishi kumtaja taja.
 
Ni vizuri wafanye hivyo haraka kabla ya deadline iliyotolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…