Bosco Laifa
Member
- Apr 25, 2018
- 18
- 14
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Yetu macho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwita Waitara amewatia hamasa kubwa!Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Hao walishawahi umizwa hivo hawawezi shirikiana na aliyewahi kukuumizaCCM tayari imekataa Maombi ya Lema, Zitto Na Sugu kurudi 'Uzalendoni''
yeah....amehongwa cheo na fisadi namba 1 Tanzania!Mwita Waitara amewatia hamasa kubwa!
Maana ya neno Uzalendo kwa awamu hii ya tano imekuwa ni kinyume chakeCCM tayari imekataa Maombi ya Lema, Zitto Na Sugu kurudi 'Uzalendoni''
Kama kuna chama kinachopotea kwenye ramani ni ccm, imebidi inunue wapinzani ili ipate watu wa kuwapa uwaziri? Kweli ccm wamepaki majuha tu na jiwe mwenyewe anawashangaa wanavyo mshangilia lakini hawamuelewi..Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Maana ya neno Uzalendo kwa awamu hii ya tano imekuwa ni kinyume chake
Yule kamanda hawezi kupuyanga mzeeDaaaa nawasiwasi na mbunge wa Binadamu na wanyama.