Wabunge Wote Wasiotaka Kura za Wazi are Cowards ni wakati Muafaka Wakajitoa huko Dodoma Haraka Sana!


- Museveni ameweka mfano wazi kiongozi unasimama na kuweka msimamo wako wazi unasimamia nini na kwa nini na huogopi mtu wala vitisho jamani tafadhalini waoga waoga wote huko Dodoma ondokeni waachieni wananchi wanaoweza kusimama na kuhesabiwa!1

Le Mutuz
 

Is it you ? Kweli watu hubalika, ahsante Mungu kwa kugusa roho na nafsi za watu.
 
Vain Vapid Verbosity.
 
- Kaka ungeanza na Zitto na Kitila kufukuzwa chama na Migamba kupigwa ngumi hivi ilikuwa ni kwa sababuy ya nini kaka?

Le Mutuz

Kutembeza waraka wa mapinduzi ndani ya chama,jee kwa nini Jirani yako Abdul Jumbe yupo kifungoni mpaka leo?
 
Mbona kwenye kura za maoni hampigi wazi ili kuchagua viongozi wenu wa chama au nyie ni cowards.

- Kaka kitendo cha mwanaume mzima kusimama mbele ya wananchi kulilia kupiga kura kwa siri kisa eti unaogopa wanaume wengine ni ujuha na coward hufai kuwa kiongozi dawa ni kujoondoa tu!!

Le Mutuz
 
We jamaa unaguswa sana na jinsia ya kiume.... nakosa imani sana na ww. Hawa wanaume walikufanya nn?

- Kaka si hata CUF mlisema mashoga kujiunga nao maana yake il;ikuwa nini eti na nyie kumbe ni mashoga au? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 


Kuwa makini na hoja zako za 'domokrasia'. Kura ya SIRI ni msingi muhimu wa demokrasia kote duniani!
 

Kwa nn iwe ni ccm asilimia kubwa wanapingana na kura ya siri? Hivi mnafikiri mtanzania wa 2014 anafanana na wa mwaka 1977? mnajipotezea heshima katika jamii
 
Is it you ? Kweli watu hubalika, ahsante Mungu kwa kugusa roho na nafsi za watu.
masopakyindi ameamua kuwa mkweli na kutokua mshabiki. Huenda mtu ukawa unakipenda kitu fulani, lakini usikipende sana kiasi cha kupofusha kuona mapungufu yake.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini na hoja zako za 'domokrasia'. Kura ya SIRI ni msingi muhimu wa demokrasia kote duniani!

- Kaka katiba mpya haiandikwi kwa kura ya siri, Museveni juzi hakunadika Sheria mpya kwa siri tumia akili zako kidogo tu!!

Le Mutuz
 

Le mutuz wakati mwingine nakuona kama huna akili za kutosha. Kura na katiba ni vitu viwili tofauti. Katiba haiwezivna haitaka iwe ya siri. Pia America na Tanzania ni sehemu mbili tofauti huwezi kulinganisha. Sifa kubwa America ili ugombee urais lazima Uwe tajiri, kwa nini usiseme iwe na Tanzania . Mnataka kura ya wazi ili katiba iwe ya familia ya ccm? Katiba ni ya wananchi kura ya siri ni lazima
 
- Kaka wanaume wanaandika katiba mpya kwa kura za siri ulisikia wapi hiyo? Huko dodoma wameenda watu wengi wasiofaaa fukuza wote tuanze upya ibidi na waulizwe mapema wanataka kupiga kura za siri au za wazi, kura inapigwa wazi

Le Mutuz

Nin maana ya demokrasia wewe zuzu Le Mutuz.
 

Narudia kukuuliza tena, unauhakika duniani kote haijawahi kutokea kura ya siri?
 

- ha! ha! ha! ha! ha1 mr. genius amekuja kunijibu nisiye na akili za kutosha! ha1 ha1 ha1

hii imenivunja mbavu sana! ha! ha!

Le Mutuz
 
Narudia kukuuliza tena, unauhakika duniani kote haijawahi kutokea kura ya siri?

- Kura ya siri kluandika katiba mpya? sijawahi kusikia kaka!! kwani kaka hukumuona Museveni majuzi akindika Sheria mpya kwa uwazi au hukuona!!

Le Mutuz
 
Ahaaa huyuuu mutuz msengeremaaa kweliii we mbo wenywe wameteuliwa kwa siriii na rais au kulikuwa na kura ya wazi uteuzii wao


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
masopakyindi ameamua kuwa mkweli na kutokua mshabiki. Huenda mtu ukawa unakipenda kitu fulani, lakini usikipende sana kiasi cha kupofusha kuona mapungufu yake.
Kweli mkuu, hata Mwalimu alikuja na sera ya chama iitwayo TUJISAHIHISHE.
CCM isipofanya hivyo haitweza kuwaunganisha wanachama wake kwa woga tu wa kuchukuliwa hatua za ku vote nje ya matakwa ya viongozi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…