Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Nimefanya nasema tena nimefanya na mkinipa nafasi tena nafanya na naomba mnichukulie hatua. G Lema( majibu yake mbele ya kamati ya maadili alipoitwa kuhojiwa).
 
Umefufukia wapi wewe .kitambo sana
Nipo....natega mingo hapa.
Nipo mbona, japo siingii sana jukwaani si unajua tena umri ushaenda nahitaji kuipumzisha akili dear....
 
Wale wa “leo leo” alias sagula sagula waliojipeleka nao wanahusika na huo mwaliko?
 
Nipo....natega mingo hapa.
Nipo mbona, japo siingii sana jukwaani si unajua tena umri ushaenda nahitaji kuipumzisha akili dear....
Umeanza mikwala yako .karibu mbusi chako ni chako
 
Vipi wale COVID-19 nao watazuka!? Wanaitiwa nini huko ambako COVID-19 imechachamaa hadi kumkimbizia jiwe kule porini?
 
Vip tunaanza kubadilisha asa hivi? mitano kuwa saba ?
 
Vipi wale COVID-19 nao watazuka!? Wanaitiwa nini huko ambako COVID-19 imechachamaa hadi kumkimbizia jiwe kule porini?
COVID-19 sasa kaja kivingine anaomdoka na 70+; ni balaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu nadhani hata below 70+. Anna Filbert Bayi imemchukua sidhani kama alikuwa hata na 60.
COVID-19 sasa kaja kivingine anaomdoka na 70+; ni balaa
 
Kikao cha Bunge au Kamati ya Wabunge wa CCM na Vyama rafiki?
 
Back
Top Bottom