Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Kw
Bunge au kikao cha chama?
Kwani Mabunge Mengine yalikuwa ni ya Vikao vya vyama vya siasa au?
Acha kutuzingua mlipewa nafasi mkashindwa kuzitumia. Ngoja mjifunze siku ingine mtaacha kutudharau.
 
Nimekutana na Kijana Anthony Mavunde, nana amechanganyikiwa kuachwa kwenye Unaibu Waziri. Namuonea huruma sana kijana huyu.
 
Waje mapema na hoja ya kumlazimisha....wapi nkamia na kessy.
 
Ni jambo jema sana.Maisha ni lazima yaendelee.Tunaltakia kila la heri bunge hili na Mwenyezi Mungu awasimamie "waijue haki waweze kuifuata na waijue batili waweze kuiepuka"
Hilo siyo Bunge,ni kikao Cha kamati kuu ya CCM.
 
Tunategema Bunge la sasa kutopitisha miswada controversial kuwa sheria.

Mjitahidi kusimamia interest za makabwela na sio makabaila.
 
Back
Top Bottom