Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Mkuu, ulipotea sana, ulikuwa wapi, kwenye kampeni? Au kwa kuwa lile jukwaa letu pendwa lilipigwa chini?
Mkuu mie nipo.
Si unajua uchakarikaji tu mwaya.
Na wala sina hata habari kama halipo...kwa kuwa sijaingia wala kufika page za chini....jamaniiiii.
 
Kw

Kwani Mabunge Mengine yalikuwa ni ya Vikao vya vyama vya siasa au?
Acha kutuzingua mlipewa nafasi mkashindwa kuzitumia. Ngoja mjifunze siku ingine mtaacha kutudharau.
Mpuuzi wewe maumivu tunayapata wote, mafuta, sukari, nondo, bati, simenti, kodi juu kwa wote. Mpuuzi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom