Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Ombaomba wapo, chawa wapo!
 
Hata wahindi na waarabu wana mitaji ila wanaiogopa hii biashara
Wahindi na waarabu nao wameingia miaka hii mkuu, ila Wachina ndo wame-dominate, hakuna sehemu yenye gold nimeenda nikawakosa hawa Wachina, na wana kemikali zao ni balaa, wakiupitia mchanga hawaachi kitu,ukiupitia mchanga hupati hata point ya dhahabu.
 
Umenaliza kila kitu
 
Huku Njombe mbona hawapo? Na kuna miti ya mbao ya kutosha, hawana uwezo wa kushindana kibiashara na wakinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…