luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Haters Ktk ubora,hâta USA Kuna maskini wakutisha wanaolala kwenye makalavatiMimi naishi Kilimanjaro.
Vijana msiweke akilini vitu ambavyo havipo.
Huku Kilimanjaro Kuna masikini wa kutisha vibaya mnoo.