Wachaga tupe siri na sisi wengine

Wachaga tupe siri na sisi wengine

Wewe ni fukara na mafukara ndiyo huwa na wakati mchafu kama wewe. Endelea kuteseka lakini wenzako wanapiga hatua.
Maskini mkubwa punguza shobo hakuna tajiri anayejitetea sana hukawii kuja kuomba msaada humu..

Uliambiwa wapi maneno yanaua kama sip shobo hakuna tajiri humu anabishana kweny nyuzi epuka matapeli tangu wakuonge ndo unasifia😂😂
 
1.Nidhamu ya pesa
2.Rudia kusoma namba moja
3. Rudiaa kusoma namba moja na mbili
Katika biashara yeyote unatakiwa kuwa na malengo na nidhamu. Hutakiwi kuwa mchagga ili uwe na malengo na nidhamu kwenye biashara kama hauna hivyo vitu kwenye biashara basi usiji ingize kwenye biashara, jiuze tu mtandaoni kama kina Kajala na wasanii wengine wa bongo movie uishi mjini
 
Hellow africa

Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄

Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Anza kuruka makaburi kwa kunyunyuzia damu juu huku ukitaja mizimu ya kwenu....hii ndiyo siri yao kubwa na ufanywa kila mwisho wa mwaka. Ukisikia mchagga anakwenda kuhesabiwa kwao ni haya makafara yao.
 
Alichoongea kina ukweli kuna watu wanamilion 400 kwenye account zao achilia zile zinazozunguka kwenye biashara alafu wako kawaida kamwe huwez wadhania
Sasa wewe milioni mia nne unaona ni hela nyingi sana?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38] tafuta hela
 
Nidhamu ya ushirikina katika biashara.
Wengi hawana nidhamu ya ushirikina. Wala usiongopewe na mtu eti sijui juhudi sijui kutafuta nini. Ni walozi wazuri mno na wana nidhamu ya juu kwenye hilo
 
Nidhamu ya ushirikina katika biashara.
Wengi hawana nidhamu ya ushirikina. Wala usiongopewe na mtu eti sijui juhudi sijui kutafuta nini. Ni walozi wazuri mno na wana nidhamu ya juu kwenye hilo
Na ni wanadini wazuri pia
 
Nidhamu ya pesa nakataa katakata. Wana nidhamu ya ushirikina
Hata Kama Wana ushirikina lakini na nidhamu ya pesa pia ipo Kama unabisha karibu ushirikina halafu usiwe na nidhamu ya pesa Kama utatoboa kwenye biashara
 
Back
Top Bottom