luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Haters Ktk ubora,hâta USA Kuna maskini wakutisha wanaolala kwenye makalavatiMimi naishi Kilimanjaro.
Vijana msiweke akilini vitu ambavyo havipo.
Huku Kilimanjaro Kuna masikini wa kutisha vibaya mnoo.
Hoja ni kukopaLakini tofauti ni kwamba bakressa hakipo laki mbili
Asante mkuu,achana na Hawa haters kina MoseKingKuna mmoja ni mwalimu wa shule ya msingi nikikuambia ni mwalimu anaishi kwenye hii nyumba utakataa bonge ya nyumba
Wanajua kujiongeza alafu pia wanabahati
Hawa ni malofa Massalia ya mwendazake,mkoa WA mwendazake ni miongoni mwá mikoa maskini as now we speakWewe chuki zako kwa wachaga zinazidi kukufanya uendelee kuwa fukara. Utatumia muda mwingi kuomba waanguke lakini kama ujuavyo dua la kuku.... Kipindi cha Magufuli kuna watu walikuwa wanajitapa kuwa wachaga wanakomeshwa... kiko wapi? Tatuta na wewe upate acha kuishi kwa kijiba cha roho....
Umemuweza huyu kibwengo WA kidengereko[emoji2][emoji2]Umechelewa kuwazuia! Wameshaenea kila sehemu. Kama ni wizi na utapeli kwa nini na wewe usifanye? Ohooo.. nimesahu. Kumbe wewe ni mtume na mambo hayo ni mwiko kwako kufanya.
Mwendazake alikuwa na chuki kali,akiona idara inaongozwa na mchaga Alkuwa anachukia sana, kule kaakazini ma bureau de change mengi ya wachaga aliyafilisi Ila mama Samia karudisha Hela zote hataki dhuluma,vibwengo WA mwenda mmebaki wakiwaChuki zip jamani tukisema mnasema ni chuki?
Eti Magufuli awachukie nn wakati wakina Manji wasemeje ? huwaga sipendi kubishana na washamba hamna hoja eti mnachukiwa kwa lip na hayo mafaniko ni yapi ?
Hata waarabu sina shobo nao kama hujui na ndo matajiri nyie wachuuzi kelele kibao[emoji23][emoji23]
Mlamba matako Ktk uborajamani Mo na Bakhresa hata mtoto anajua ndo matajiri hao wengine siwafahamu[emoji23][emoji23]
Njoo nikiajiri upunguze chuki na roho mbayaMimi sio maskini ndo maana sijitetei kwa sana na wala siujui umaskini....
Maskini hakosagi sábabu ya kujiteteaWachawi mnafanya watoto wenu matahira kwa ujinga ndo maana tajiri ila anavaa hovyo hovyo[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2] sindano inamuingia huyu mdengerekoUtaenelea kulala kwenye vibanda hasara mapaka na wajukuu zako. Fanya kazi acha kuombea wengine mabaya.
Hâta USA,Índia Kuna maskin, tofauti ni kuwa umaskini WA Kilimanjaro ni 10% tu 90 mambo Safi tumeelewana nyie vilaza?Ukisema eti unawachukia[emoji23][emoji23][emoji23]Wapo hapa wanagongea pesa za mkopo
Umeishia memkwa unataka Uwe serikalin? Wale wamepiga kitabu tangia enzi za mkoloni Hadi Sasa kwahyo utazd kupata kihoro tuTapeli majizi hata serikalini yapo ndo utajiri wengine hatuwezi kufanya maana riziki ya halali tunapata
😂😂😂Wewe hauna helaMwendazake alikuwa na chuki kali,akiona idara inaongozwa na mchaga Alkuwa anachukia sana, kule kaakazini ma bureau de change mengi ya wachaga aliyafilisi Ila mama Samia karudisha Hela zote hataki dhuluma,vibwengo WA mwenda mmebaki wakiwa
Kajengeni makwenu udengerekoni kwanza ndio uje hapa,hatubishan na watu wanaolala nyumba za nyasiMaskini mkubwa punguza shobo hakuna tajiri anayejitetea sana hukawii kuja kuomba msaada humu..
Uliambiwa wapi maneno yanaua kama sip shobo hakuna tajiri humu anabishana kweny nyuzi epuka matapeli tangu wakuonge ndo unasifia[emoji23][emoji23]
😂😂Mi smart nikiwa nipo chuo watu walifikria nipo form four mpaka wananiuliza mbona mdogo sana..Umeishia memkwa unataka Uwe serikalin? Wale wamepiga kitabu tangia enzi za mkoloni Hadi Sasa kwahyo utazd kupata kihoro tu
Kajengeni makwenu udengerekoni kwanza ndio uje hapa hatubishan na watu wanaolala nyumba za nyasiNifuatilia maisha ya nan ebu niambie nimfuatilia nan kutoka huko kwenu ?
Jamii nyingine kabisa sina time wala siwajui watu wa huko
😂😂Kwetu naenda hata mara 6 kwa mwaka ila wewe mara moja kwa mwaka kwani kule kuna nn?Kajengeni makwenu udengerekoni kwanza ndio uje hapa,hatubishan na watu wanaolala nyumba za nyasi
Taarifa Hizi ni mbaya kwa # mosekingHata mzumbe utafiri ni chuo cha wachaga
Unaongezeka jumlisha hizi kesi za mtu kufa kisa kakosa pesa ya matibabu na watu kuunguza nyumba kwa kibatali😂😂Hâta USA,Índia Kuna maskin, tofauti ni kuwa umaskini WA Kilimanjaro ni 10% tu 90 mambo Safi tumeelewana nyie vilaza?
Mwámbie Aku postie mahekalu Huko migombni
Kilimanjaro hayupo MTU anaelala nyumba ya nyasi hâta maskini halali nyumba ya nyasi kama kwenu udengerekoni