Wachaga tupe siri na sisi wengine

Umeamua kuwasifia wachanga wenzio
 
Mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na duka kubwa sana ndo kilikuwa kijiwe chetu usiku! Kabla jamaa hajafungua duka ilikuwa anaamka usiku na kumwagilia vitu fulani pale nje baadae akabadilisha muuzaji duka liliishia pale
Tatizo mlikua mnaniloga sana
 
Hawa walipata mitaji kwenye mabenki,wakapata zabuni za serikali,wakapiga pesa nyingi,wakapata connection za biashara za nje,TRA wakawarahisishia uingizwaji bidhaa kwa kuwa wamo wengi.
Kwa sasa wana mitaji na wanaieneza kwenye koo zao.Walipata mapema na si rahisi kuwapata.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwaje wakapat?
 
Ilikuwaje wakapat?
Walikuwa na nyadhifa serikalini na ni kwa sababu waliwahi kwenda shule.
Kwenye mabenki walikuwa wengi,halmashauri zenye hela wahasibu wengi walikuwa wachaga,walipata connection kirahisi ya kufanya biashara na serikali na hawasumbuliwi kwenye malipo kwani kila sehemu wapo.
Mtu mwingine unaweza kupata zabuni lakini unaweza kusumbuka kulipwa pesa sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…