Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Upo Kibosho ipi mkuu?
 
Kibosho sehemu gani nipo kibosho hapa
Cha ajabu hata mkijuana hakuna jipya.

Kingine Wachagga haswa Kibosho tunachorana sana.

Mtu anakupeleleza aone iwapo una hela kumzidi.

Kama umemzidi anakuwa wa baridi na kukukwepa ila kama anakuzidi, dharau zinaanza.
 
Huu ukoo wa Chuwa kweli vichaa wengi.

Kama siyo kichaa basi anakuwa na roho mbaya sana
Ndiyo shida yao mkuu mi wala siwafagilii, ukoo bora uchaggani ni Massawe tu.

Watu wake wanajielewa.
 
Mi nipo Uchau nimetulia wala staki shida 😅😅😅
 
Kindeena hata siwajui kina mangiri
Ukoo wa Mushi wanawake wanaitwa Maninda

Munishi ke wanaitwa Mukure

Mallya ke wanaitwa Mure

Mmassy ke wanaitwa Machoo (Ukoo wa Shoo umetokana na Machoo wa Mmassy)

Chami ke ni Mangiri

Massawe ke ni Mambacho

Mboro ke wanaitwa Mamboro
 
Manyinda ni ukoo wa massawe wanawake, maana kuna massawe mbacho, massawe mbishi, massawe nyinda ndo wanawake manyinda....pia ipo massawe otaru.

Mushi ndo wanawake wanaitwa mukure..... ila boma za mushi ni nyingi sana kama mushi sina, lesindamu, kimboka, n.k

Hao wengine umepatia upo sahihi.

Basi sijui kama ke chami ndo mangiri maana kibosho yetu kirima hakuna chami mpaka umbwe.
 
Ndiyo shida yao mkuu mi wala siwafagilii, ukoo bora uchaggani ni Massawe tu.

Watu wake wanajielewa.
Baada ya kubagua makabila mengine mmeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe...
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana aisee....

Chagga are very weak ndo maana mnatumia nguvu kubwa kujibrand na mbaya zaidi mnajikuta mnatrash na makabila mengine yanayomind their own business

Huko kibosho lami ishasogezwa toka pale KNCU? Au bado ni mavumbi...maana miaka ile barabara ni mbaya sana na ile ya kuelekea kibosho hospital
 
😅😅😅😅 kaka mpaka sasa hivi haijasogezwa ipo tu mkuu....kumbe huku nyumbani ushafika japo najua wewe mhaya, ulikuja kufanya nini??? Lami bado mvua ikinyesha tope la kufa mtu.
 
Baada ya kubagua makabila mengine mmeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe...
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana aisee....

Chagga are very weak ndo maana mnatumia nguvu kubwa kujibrand na mbaya zaidi mnajikuta mnatrash na makabila mengine yanayomind their own business

Huko kibosho lami ishasogezwa toka pale KNCU? Au bado ni mavumbi...maana miaka ile barabara ni mbaya sana na ile ya kuelekea kibosho hospital
Wachagga tunabaguana mpaka kifamilia sio kiukooo tu wala usishangae....
 
Manyinda ni ukoo wa massawe wanawake, maana kuna massawe mbacho, massawe mbishi, massawe nyinda ndo wanawake manyinda....pia ipo massawe otaru.

Mushi ndo wanawake wanaitwa mukure..... ila boma za mushi ni nyingi sana kama mushi sina, lesindamu, kimboka, n.k

Hao wengine umepatia upo sahihi.

Basi sijui kama ke chami ndo mangiri maana kibosho yetu kirima hakuna chami mpaka umbwe.

Munishi ni Mukure

Mushi ni Manyinda kama kuna Massawe Manyinda inawezekana maana hata huu ukoo wa Shoo umetokea kwa Mmassi Choo. Sasa walipojitenga kuanzisha ukoo wao wakajiita "Shoo" yaani "Choo" kwa Kimachame.

Koo nyingine zimeanzishwa baada ya kumeguja ukoo mmoja.
 
Unapoteza muda kuhangaika na watu finyu kama hao?
Wao ni kujisifu kiboya tu. Juzi tupo downtown fulani kuna moja linajisifu kwamba "in Tanzania, the Chaga tribe is considered the most developed by European and US standards.

Akaendelea kudai kwamba, "the Chaga community stands out for having the highest number of LGBTQ individuals, who live without fear of stigma or harm in their community".

Lile fala likaendelea kudai kuwa "the LGBTQ community in the Chaga tribe is robust and expanding, surpassing the combined numbers of other communities in the coutry, excluding Zanzibar".
Akaongezea mfano yule shoga aliyefanyikwa operation ya kubadili jinsiakwa kusema , "the first Tanzanian man to undergo gender reassignment surgery was from the Chaga tribe".
Inaonesha una hasira sana na wachaga
 
Back
Top Bottom