The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Huko singa ni vichaaa sana kina chuwaHuku kibosho kirima pande za singa hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko singa ni vichaaa sana kina chuwaHuku kibosho kirima pande za singa hapa!
Upo Kibosho ipi mkuu?Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Kashasema Kibosho Kirima singaUpo Kibosho ipi mkuu?
Cha ajabu hata mkijuana hakuna jipya.Kibosho sehemu gani nipo kibosho hapa
Huu ukoo wa Chuwa kweli vichaa wengi.Huko singa ni vichaaa sana kina chuwa
Ndiyo shida yao mkuu mi wala siwafagilii, ukoo bora uchaggani ni Massawe tu.Huu ukoo wa Chuwa kweli vichaa wengi.
Kama siyo kichaa basi anakuwa na roho mbaya sana
WaMushi wao misukule mingi sanaNdiyo shida yao mkuu mi wala siwafagilii, ukoo bora uchaggani ni Massawe tu.
Watu wake wanajielewa.
Wezi na matapeli 😅 mi nawapendaga dada zao tu maana hawajatulia....WaMushi wao misukule mingi sana
Akina Mangiri siyo! 😀Wezi na matapeli 😅 mi nawapendaga dada zao tu maana hawajatulia....
Kindeena hata siwajui kina mangiriAkina Mangiri siyo! 😀
Ukoo wa Mushi wanawake wanaitwa ManindaKindeena hata siwajui kina mangiri
Kirima mkuuUpo Kibosho ipi mkuu?
Sahihi kabisaHuko singa ni vichaaa sana kina chuwa
Manyinda ni ukoo wa massawe wanawake, maana kuna massawe mbacho, massawe mbishi, massawe nyinda ndo wanawake manyinda....pia ipo massawe otaru.Ukoo wa Mushi wanawake wanaitwa Maninda
Munishi ke wanaitwa Mukure
Mallya ke wanaitwa Mure
Mmassy ke wanaitwa Machoo (Ukoo wa Shoo umetokana na Machoo wa Mmassy)
Chami ke ni Mangiri
Massawe ke ni Mambacho
Mboro ke wanaitwa Mamboro
Baada ya kubagua makabila mengine mmeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe...Ndiyo shida yao mkuu mi wala siwafagilii, ukoo bora uchaggani ni Massawe tu.
Watu wake wanajielewa.
😅😅😅😅 kaka mpaka sasa hivi haijasogezwa ipo tu mkuu....kumbe huku nyumbani ushafika japo najua wewe mhaya, ulikuja kufanya nini??? Lami bado mvua ikinyesha tope la kufa mtu.Baada ya kubagua makabila mengine mmeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe...
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana aisee....
Chagga are very weak ndo maana mnatumia nguvu kubwa kujibrand na mbaya zaidi mnajikuta mnatrash na makabila mengine yanayomind their own business
Huko kibosho lami ishasogezwa toka pale KNCU? Au bado ni mavumbi...maana miaka ile barabara ni mbaya sana na ile ya kuelekea kibosho hospital
Wachagga tunabaguana mpaka kifamilia sio kiukooo tu wala usishangae....Baada ya kubagua makabila mengine mmeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe...
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana aisee....
Chagga are very weak ndo maana mnatumia nguvu kubwa kujibrand na mbaya zaidi mnajikuta mnatrash na makabila mengine yanayomind their own business
Huko kibosho lami ishasogezwa toka pale KNCU? Au bado ni mavumbi...maana miaka ile barabara ni mbaya sana na ile ya kuelekea kibosho hospital
Manyinda ni ukoo wa massawe wanawake, maana kuna massawe mbacho, massawe mbishi, massawe nyinda ndo wanawake manyinda....pia ipo massawe otaru.
Mushi ndo wanawake wanaitwa mukure..... ila boma za mushi ni nyingi sana kama mushi sina, lesindamu, kimboka, n.k
Hao wengine umepatia upo sahihi.
Basi sijui kama ke chami ndo mangiri maana kibosho yetu kirima hakuna chami mpaka umbwe.
Inaonesha una hasira sana na wachagaUnapoteza muda kuhangaika na watu finyu kama hao?
Wao ni kujisifu kiboya tu. Juzi tupo downtown fulani kuna moja linajisifu kwamba "in Tanzania, the Chaga tribe is considered the most developed by European and US standards.
Akaendelea kudai kwamba, "the Chaga community stands out for having the highest number of LGBTQ individuals, who live without fear of stigma or harm in their community".
Lile fala likaendelea kudai kuwa "the LGBTQ community in the Chaga tribe is robust and expanding, surpassing the combined numbers of other communities in the coutry, excluding Zanzibar".
Akaongezea mfano yule shoga aliyefanyikwa operation ya kubadili jinsiakwa kusema , "the first Tanzanian man to undergo gender reassignment surgery was from the Chaga tribe".