Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.
Screenshot_20221219-111534.png
Screenshot_20221219-145548.png
20221219_144137.jpg
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeba papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]

1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwanini hamkusema wanabebwa?

2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwanini hamkusema Argentina wanabebwa?

3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi za njano na refa, kwanini hamkusema wanabebwa?

4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu?

5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwanini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?

Tujufunze ku-appreciate juhudi za watu.
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeboa papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]

1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwa nini hamkusema wanabebwa, mbwa nyie?

2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwa nini hamkusema Argentina wanabebwa, mbwa nyie?

3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi na za njano na refa, kwa nini hamkusema wanabebwa, mbwa nyie?

4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu, mbwa nyie?

5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwa nini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?

Kuna wakati unaweza sema watu ni was.e.nge sana. Tujufunze ku appreciate juhhdi za watu.
Asante sana.
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636
Who is Julius Agahowa?? Kitu pekee anachojua ni kuruka sama soti
 
Wenzio wanafikiria kwa kutumia akili ,we unatumia makalio ndo matatizo.

Zile 36 matches unbeaten kwamba alikuwa sio Argentina ..Angalia petition kadhaa kabla ya kombe Nan alipewa first priority ya kushinda kutokana na uwezo wake.

Vijana wa Ronaldo mtakoma aisee ,roho zinawauma mtakuja kujinyonga.
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636
Kiongozi wa FIFA akikosa goal
IMG_20221218_230228.jpg
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeboa papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]
Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment

Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni 😁😁
 
muache atrend sisi tuna kombe letu tayari
 
Back
Top Bottom