Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment

Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni [emoji16][emoji16]
Hadi kwenye penalty wamebebwa za France refa alikuwa Anaweka wanapigia katikati ya uwanja

Very shameful
 
Wenzio wanafikiria kwa kutumia akili ,we unatumia makalio ndo matatizo.

Zile 36 matches unbeaten kwamba alikuwa sio Argentina ..Angalia petition kadhaa kabla ya kombe Nan alipewa first priority ya kushinda kutokana na uwezo wake.

Vijana wa Ronaldo mtakoma aisee ,roho zinawauma mtakuja kujinyonga.
Msikie huyu nae 😁😁😁 hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboa

South Amerca ukitoa Brazil hamnaga timu kali kali

By the way ilikua tu abebe kombe , the nature ilikua inambebe or else angelisikia tu

Dua zenu pia zilimbeba πŸ˜ƒ
 
Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment

Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni 😁😁
Unakumbuka penat ya ureno Vs Ghana ronaldo ajaguswa jamaa kacheza mpira refa akafunika na akutaka ata review ya VAR ukichek marudi unaona sio penat ajabu hii ya dimaria ndio VAR inalaumiwa
 
Screenshot_20221219-124709.png

Kazi imeanza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentina
 
Pale ulaya kafungwa na Nan? hta mechi za kirafiki hapo katikati kuw na akili halafu acha ushamba..Kafungwa na muarabu tu hao wa Europe na kafua dafu na ile fainali ya 2016 ilikuwa tu bahati ya German.
 
Unakumbuka penat ya ureno Vs Ghana ronaldo ajaguswa jamaa kacheza mpira refa akafunika na akutaka ata review ya VAR ukichek marudi unaona sio penat ajabu hii ya dimaria ndio VAR inalaumiwa
Ile ni clear faulo kabisa, yule beki wa Ghana alimchezea rafu

Ila kwa kesi ya jana Di maria alijichezesha rafu mwenyewe yaan i can say Dembele aliteleza kutokana na style of play ya Di maria
 
kateleza wap alimkwatua mguu wa nyuma
 
kwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentina

Acha kutamba kwa mchezo wa kirafiki
 
Ndo hawa jamaa weusi waliandaliwa kukosa penati πŸ€”
Screenshot_20221219-124709.png
 
kwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentina
We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Yaan ile mechi moja yenyewe kwa goli moja nayo imekua case 😁😁😁
 
Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment

Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni 😁😁
IMG_20221218_190702.jpg
 
We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Yaan ile mechi moja yenyewe kwa goli moja nayo imekua case 😁😁😁
goal moja lipi uku argentina alishinda 3 - 0
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeboa papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]
Uko sahihi kiongozi wangu hizi takataka sijui zinawaza kwa kutumia kiungo gani aisee Jana Ufaransa wamepata penalty mbili Moja ya dk za majeruhi wakati wa Extra time Sasa kubebwa kupi wanakokuzungumzia?
 
Pale ulaya kafungwa na Nan? hta mechi za kirafiki hapo katikati kuw na akili halafu acha ushamba..Kafungwa na muarabu tu hao wa Europe na kafua dafu na ile fainali ya 2016 ilikuwa tu bahati ya German.
Ishu sio kafungwa na muarabu

The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly

Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM

Ova

Na log off
 
Back
Top Bottom