Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
ππππKingsley coman na Yule kiungo wa Madrid naskia nao waliambiwa wakifunga penalty wanauliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππKingsley coman na Yule kiungo wa Madrid naskia nao waliambiwa wakifunga penalty wanauliwa
Hadi kwenye penalty wamebebwa za France refa alikuwa Anaweka wanapigia katikati ya uwanjaHapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment
Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni [emoji16][emoji16]
Msikie huyu nae πππ hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboaWenzio wanafikiria kwa kutumia akili ,we unatumia makalio ndo matatizo.
Zile 36 matches unbeaten kwamba alikuwa sio Argentina ..Angalia petition kadhaa kabla ya kombe Nan alipewa first priority ya kushinda kutokana na uwezo wake.
Vijana wa Ronaldo mtakoma aisee ,roho zinawauma mtakuja kujinyonga.
Unakumbuka penat ya ureno Vs Ghana ronaldo ajaguswa jamaa kacheza mpira refa akafunika na akutaka ata review ya VAR ukichek marudi unaona sio penat ajabu hii ya dimaria ndio VAR inalaumiwaHapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment
Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni ππ
Sure kabisa ππHadi kwenye penalty wamebebwa za France refa alikuwa Anaweka wanapigia katikati ya uwanja
Very shameful
Ukweli mchungu Ila kwa Chawa wa Penalssi watakumwagia povu sio muda
kwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentinaMsikie huyu nae πππ hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboa
South Amerca ukitoa Brazil hamnaga timu kali kali
By the way ilikua tu abebe kombe , the nature ilikua inambebe or else angelisikia tu
Dua zenu pia zilimbeba π
Pale ulaya kafungwa na Nan? hta mechi za kirafiki hapo katikati kuw na akili halafu acha ushamba..Kafungwa na muarabu tu hao wa Europe na kafua dafu na ile fainali ya 2016 ilikuwa tu bahati ya German.Msikie huyu nae πππ hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboa
South Amerca ukitoa Brazil hamnaga timu kali kali
By the way ilikua tu abebe kombe , the nature ilikua inambebe or else angelisikia tu
Dua zenu pia zilimbeba π
Ile ni clear faulo kabisa, yule beki wa Ghana alimchezea rafuUnakumbuka penat ya ureno Vs Ghana ronaldo ajaguswa jamaa kacheza mpira refa akafunika na akutaka ata review ya VAR ukichek marudi unaona sio penat ajabu hii ya dimaria ndio VAR inalaumiwa
kateleza wap alimkwatua mguu wa nyumaIle ni clear faulo kabisa, yule beki wa Ghana alimchezea rafu
Ila kwa kesi ya jana Di maria alijichezesha rafu mwenyewe yaan i can say Dembele aliteleza kutokana na style of play ya Di maria
kwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentina
We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca πππkwan mech zote 36 kacheza south america acha uzuzu fatilia kidogo mpira kuna fainali ya kombe la uefa kacheza na italy,italy katoka kuchukua euro wa moto,kala chuma 3 kwa mnyama argentina
Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment
Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni ππ
we jamaa hufatili kabisa mpira pole sana,ilikua fainal wanachezea kombe bingwa wa europe na bingwa wa south americaAcha kutamba kwa mchezo wa kirafiki
Sure kabisa ππ
Yule refa ana roho mbaya kaa nini na kombe lao watasahaulika tu πππ
goal moja lipi uku argentina alishinda 3 - 0We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca πππ
Yaan ile mechi moja yenyewe kwa goli moja nayo imekua case πππ
Uko sahihi kiongozi wangu hizi takataka sijui zinawaza kwa kutumia kiungo gani aisee Jana Ufaransa wamepata penalty mbili Moja ya dk za majeruhi wakati wa Extra time Sasa kubebwa kupi wanakokuzungumzia?Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeboa papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]
Ishu sio kafungwa na muarabuPale ulaya kafungwa na Nan? hta mechi za kirafiki hapo katikati kuw na akili halafu acha ushamba..Kafungwa na muarabu tu hao wa Europe na kafua dafu na ile fainali ya 2016 ilikuwa tu bahati ya German.