Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca 😄😄😄

Yaan ile mechi moja yenyewe kwa goli moja nayo imekua case 😁😁😁
We nawe sijui mlevi kila kitu unageuza😂😂😂
 
Hii ni kwa mashabiki wa Ronaldo
IMG_20221219_125532.jpg
 
Ishu sio kafungwa na muarabu

The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly

Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Taja timu bora!! ,ila usitaje vitoto vya mwaka 99 sijui kilinda mbappe.
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636
IMG_20221219_121312.jpg

Ukweli ni kwamba Ufaransa walizidiwa
 
Ishu sio kafungwa na muarabu

The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly

Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Wangekuwa wanabebwa magoal yasingekuwa yanayudishwa Sasa jaribu kufungua ubongo kidogo
 
Ova

Na log off
🤣🤣 basi kawe Rais wa FIFA katunge sheria mpya teams zikitoka draw zote zitoke,acha uzwazwa
 
SAD FACT CR7 HAJAWAHI KUGUSA ATA NUSU FINAL YA WC IN FACT YUPO SORROUNDED NA WATU
 
Wangekuwa wanabebwa magoal yasingekuwa yanayudishwa Sasa jaribu kufungua ubongo kidogo
We nae bhana bichwa gumu which sides are u kwanza😀

Wanaokubeba inafika taimu wanakupotezea cuz hubebeki na this is wat happened kwa sec half
 
We nae bhana bichwa gumu which sides are u kwanza[emoji3]

Wanaokubeba inafika taimu wanakupotezea cuz hubebeki na this is wat happened kwa sec half
Unaonekana kitandani unajua Sana Mambo bibie

Ila cr7 hajawahi kuingia ata Nusu tu WC
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]polen sana
 
Wadau acheni kubishana na watu wanaoangalizia mpira live score , na kuangalia highlights za mechi basi wanakuja kusumbua wafuatiliaji wa Mambo na story za kombe la mchongo yaan ukalishe dunia nzima kwa ajili ya kumbemba mtu umehonga watu wangapi!!

Argentina wamechukua Kombe kihalali.
 
Wamehonga hukuona goal keeper wa Argentina alikuwa anaambiwa na refa upande wanaopiga france
 
Kuna uzi nimeandika wakanitukana kwelikweli
 
we jamaa hufatili kabisa mpira pole sana,ilikua fainal wanachezea kombe bingwa wa europe na bingwa wa south america

hata Emrite cup pia ina fainali mkuu, Ile ilikua ni mechi ya kirafiki iliyochangamka. Hata hao Italy waliingiza wachezaji wengi wa kikosi B.
 
Kuna uzi nimeandika wakanitukana kwelikweli
Wabaguzi mpaka benzema kapanic kweny kuhudhuria fainal
 
Back
Top Bottom