FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Black race ni laana Hao Brain drain wakomeNdo hawa jamaa weusi waliandaliwa kukosa penati [emoji848]
View attachment 2451718
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Black race ni laana Hao Brain drain wakomeNdo hawa jamaa weusi waliandaliwa kukosa penati [emoji848]
View attachment 2451718
We nawe sijui mlevi kila kitu unageuza😂😂😂We nae asa ile si ni mechi moja, inachezwa btn Bingwa wa euro na bigra wa S Amerca 😄😄😄
Yaan ile mechi moja yenyewe kwa goli moja nayo imekua case 😁😁😁
Taja timu bora!! ,ila usitaje vitoto vya mwaka 99 sijui kilinda mbappe.Ishu sio kafungwa na muarabu
The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly
Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Habari wadau.
Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.
Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.
Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.
Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.
My Take.
Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636
Wangekuwa wanabebwa magoal yasingekuwa yanayudishwa Sasa jaribu kufungua ubongo kidogoIshu sio kafungwa na muarabu
The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly
Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Eeeh hata kombe lenyewe halikiki kwanza ni friendly mechi tulivoambiwagoal moja lipi uku argentina alishinda 3 - 0
🤣🤣 basi kawe Rais wa FIFA katunge sheria mpya teams zikitoka draw zote zitoke,acha uzwazwaIshu sio kafungwa na muarabu
The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly
Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Ova
Na log off
kafatilia tu tennis na basketballEeeh hata kombe lenyewe halikiki kwanza ni friendly mechi tulivoambiwa
Mie bhana hamuniimpress hata msemeje 😄😄
We nae bhana bichwa gumu which sides are u kwanza😀Wangekuwa wanabebwa magoal yasingekuwa yanayudishwa Sasa jaribu kufungua ubongo kidogo
Unaonekana kitandani unajua Sana Mambo bibieWe nae bhana bichwa gumu which sides are u kwanza[emoji3]
Wanaokubeba inafika taimu wanakupotezea cuz hubebeki na this is wat happened kwa sec half
Wamehonga hukuona goal keeper wa Argentina alikuwa anaambiwa na refa upande wanaopiga franceWadau acheni kubishana na watu wanaoangalizia mpira live score , na kuangalia highlights za mechi basi wanakuja kusumbua wafuatiliaji wa Mambo na story za kombe la mchongo yaan ukalishe dunia nzima kwa ajili ya kumbemba mtu umehonga watu wangapi!!
Argentina wamechukua Kombe kihalali.
Inahusika 👇View attachment 2451682
we jamaa hufatili kabisa mpira pole sana,ilikua fainal wanachezea kombe bingwa wa europe na bingwa wa south america
Wabaguzi mpaka benzema kapanic kweny kuhudhuria fainalKuna uzi nimeandika wakanitukana kwelikweli
Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...www.jamiiforums.com
Wakishinda wanakuwa wafaransa, wakipoteza wanakuwa waafrica.Wabaguzi mpaka benzema kapanic kweny kuhudhuria fainal