Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Wameanza kukiri hadharani 👇
Screenshot_20221219-145548.png
20221219_144137.jpg
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636View attachment 2451871View attachment 2451872
Mazumbukuku wa MISS PENATI watakaza mafuvu yao hapa hadi mishipa ipasuke lakini ukweli usemwe mbeleko FC/Argentina waliandaliwa na FIFA kwa sababu za kibiashara.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636View attachment 2451871View attachment 2451872
Nilishangaa sana jana kuona Watu wamepata advantage ya kwenda kufunga kwa counter attack ghafla Refa anapuliza kipenga, nilinyong'onyea sana[emoji849]

Inamaana angeacha France wamalize shambulizi kisha atoe kadi kwa mchezaji faulo angeshtakiwa na kufungiwa kuchezesha tena timu za kimataifa [emoji848][emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeba papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]

1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwanini hamkusema wanabebwa?

2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwanini hamkusema Argentina wanabebwa?

3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi za njano na refa, kwanini hamkusema wanabebwa?

4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu?

5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwanini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?

Tujufunze ku-appreciate juhhdi za watu.
Zumbukuku mojawapo la BEBWA BEBWA MISS PENATI hili hapa mazumbukuku menziye yamemgongea LIKE [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kiongozi wangu hizi takataka sijui zinawaza kwa kutumia kiungo gani aisee Jana Ufaransa wamepata penalty mbili Moja ya dk za majeruhi wakati wa Extra time Sasa kubebwa kupi wanakokuzungumzia?
Tangu dunia iumbwe haijawahitokea timu yoyote kupata penati 7 mfululizo kati ya mechi 7 kwenye kombe la dunia.

Fikiri kwa kutumia ubongo (akili) wala si moyo (mahaba).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Eeeh hata kombe lenyewe halikiki kwanza ni friendly mechi tulivoambiwa

Mie bhana hamuniimpress hata msemeje [emoji1][emoji1]
Mataaira sana hayo timu MISS PENATI, kibaya zaidi yanakariri kila asiyeyakubali na mbeleko FC/Argentina yao ni mshabiki wa CR 7.

Kombe la dunia limepoteza uhalisia kabisa sababu tu ya ujinga wa FIFA kukaa kibiashara zaidi.
JamiiForums-716845962.jpg
JamiiForums-1394873182.jpg
JamiiForums-201325086.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
We nae bhana bichwa gumu which sides are u kwanza[emoji3]

Wanaokubeba inafika taimu wanakupotezea cuz hubebeki na this is wat happened kwa sec half
Kisamehe bure tu, kitoto chenyewe ni cha miaka ya 2000 na ni kifupi kama MISS PENATI, unategemea atakuwa na afya ya akili [emoji848][emoji56]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yaani nilikuja kujua Argentina anabebwa na kuandaliwa ubingwa ile mechi ya Netherlands ile penalty ilikuwa nje ya box na jana refa kazima shambulizi la goli kwa France
Wajinga hawawezi kuisha duniani Chifu, huoni hata hapa jinsi yanavyokaza mafuvu hayo Mataahira [emoji848][emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment

Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni [emoji16][emoji16]
Aiseee mpaka dk ya 80 zero shoot on target halafu unaongea nini?
 
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeba papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]

1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwanini hamkusema wanabebwa?

2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwanini hamkusema Argentina wanabebwa?

3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi za njano na refa, kwanini hamkusema wanabebwa?

4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu?

5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwanini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?

Tujufunze ku-appreciate juhhdi za watu.

Hawa watu wa Ajabu sana jana France wamepata penalty 2 kama Argentina wanabebwa si refa angevunga?? Chuki zitawaua watu wanatafuta kila sababu
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636View attachment 2451871View attachment 2451872
Hakuna kitu kama icho, wamepambana na wote tumeona.
 
Msikie huyu nae [emoji16][emoji16][emoji16] hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboa

South Amerca ukitoa Brazil hamnaga timu kali kali

By the way ilikua tu abebe kombe , the nature ilikua inambebe or else angelisikia tu

Dua zenu pia zilimbeba [emoji2]

Mabingwa wa Euro 2020 Italy alifungwa 3-0 na Argentina kwenye final ya Finallisma 2022. Unajua mpira au una mihemuko??
 
Kwamba Argentina kabebwa fainali? Hivi kweli Kati ya aliyepewa penati moja na mwingine mbili nani kapendelewa? Wenzetu waliofungwa hata hawalalamiki wamekubali yaishe. Asiyekubali kushindwa si mshindani.

Mwingine kapewa mbili sababu ni za halali.. mwingine kapewa moja isiyo halali..

Watu wanapinga uhalali wa penalty anazopewa Argentina kila mechi..

Mechi zote za mtoano lazima apewe penalty
 
Habari wadau.

Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.

Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.

Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.

Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.

My Take.

Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636View attachment 2451871View attachment 2451872
Yaani timu ya Argentina ipambane kote huko hadi wafike fainal, halafu mtu aseme wamebebwa kwa sababu ya Penalty anayoitilia mashaka? wangepitia mechi zote waone ni maamuzi mangapi yaliyotolewa yanayo onesha kuwa na utata?
Wasituletee ushabiki wa Yanga na Simba hapa!!!
 
Mi namkubali sana Christiano na Real Madrid.

LAKINI KUNA MUDA TUNAPASWA KUIPA SOKA HAKI YAKE. HAWA WATU WAMETAWALA SOKA KWA 15 yrs na Ronaldo ameshakata moto.

Mi sioni kama kutakuwa na ladha kama mmojawao asingebeba Worldcup..!

Tujifunze kupongeza na hilo halimaanishi kama Ronaldo siyo katika greatest players kuwah kutokea!!.. Ilikuwa ni lazima na ilibidi mmojawao abebe hili kombe kufanya ubora wa kizazi chao uwe juu.
 
Matukio yanaongea 👇
Screenshot_20221219-184616.png
 
Back
Top Bottom