Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

Russia pia anasaidiwa na mataifa mengi: iran ilipeleka jeshi kitambo, kwasasa Russia anatumia drones za iran, chechnia wako front line. Beralus ni launch pad ya Russia etc. Kwa ufupini kuwa vita hii ni ya mataifa mengi
 
Tutegemee anguko la kiuchumi kwa nchi hzo zote mbili.. ila mwsho wa siku mmoja atanyoosha mikono atakapo anza kufirisika
Russia ameanza kupata maumivu kwakuwa aridhan vita isingechukua mda mrefu na gharama kubwa
 
Zaidi ya kutoa silaha, West hawawezi kutuma vikosi vyao wakafe, hiyo ondoa kabisa
Ingekuwa Zimbabwe sijui wap huko wangepeleka, ila siyo Russia mana wanajua muziki wake
West ni lazima waingie, kumbuka kuwa mateka wa mwanzo 3 walikuwa wa UK, kimsingi ni lazima wawepo kutoa msaada wa kiufundi na kujua hali halis maana putin binafsi ni tishio kwao
 
Mkuu Urusi miezi 7 tu alilazimika kuajiri vijana wa JKT kwenda vitani, majenerali amebadilisha kama nguo yake hawana idadi, lakini adui alikuwa Kyiv alipovamia sasa Ukrain wameweza kumtoa adui miji mikuu na kubakisha ya pembeni na pembeni yenyewe Jeshi la Ukrain linaendelea kumega maeneo yao ya ardhi utegemee miaka miwili itakuwaje?

Putin saiv analenga mabomu out of targets, ameenda kushambulia nyumba za raia na kuua 19 wachambuzi wengi wameona ni mtu ambaye hana malengo, ameshindwa kulinda majimbo aliyopiga kura kupitisha sheria kwamba sasa ni ya urusi, Ukrain wana advance wana retake towns kila leo
 
Russia pia anasaidiwa na mataifa mengi: iran ilipeleka jeshi kitambo, kwasasa Russia anatumia drones za iran, chechnia wako front line. Beralus ni launch pad ya Russia etc. Kwa ufupini kuwa vita hii ni ya mataifa mengi
Chechnia hii nchi ipo bara gani MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635]"My actions are correct and timely," Putin answered the question of whether he regretted anything.

Subscribe to @Sputnik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zote zitakuwa hoi.
Uchumi wa ulaya hata mwaka haujaisha unaoumulia oxygen, uingerezs uchumi wake uko kwenye hatari zaidi ya kuanguka, germany viwanda vinafungwa, itafika kipindi hata pesa ya kumpa ukraine itakosa.
 
Zaidi ya kutoa silaha, West hawawezi kutuma vikosi vyao wakafe, hiyo ondoa kabisa
Ingekuwa Zimbabwe sijui wap huko wangepeleka, ila siyo Russia mana wanajua muziki wake
Russia ipi.! Hii ambayo wanajeshi wameisha hadi wanapeleka mgambo/wafungwa na silaha wameishiwa sasa wamebaki kutishia nyuklia.
 
Nchi zote zitakuwa hoi.
Uchumi wa ulaya hata mwaka haujaisha unaoumulia oxygen, uingerezs uchumi wake uko kwenye hatari zaidi ya kuanguka, germany viwanda vinafungwa, itafika kipindi hata pesa ya kumpa ukraine itakosa.
Sasa Ujerumani akifikia hapo sasa Russia yenyewe si atakuwa hayupo maanake uchumi wake unazidiwa hata na Korea Kusini.
 
Sasa Ujerumani akifikia hapo sasa Russia yenyewe si atakuwa hayupo maanake uchumi wake unazidiwa hata na Korea Kusini.
Uchumi wake haujatetereka euro inaanguka waka ruble inazidi kutengamaa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚afu unamwambia mwenzako hajui chochote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pia uchumi wa nchi za ulaya unaporomoka kwa kasi ya ajabu huku uchumi wa Russia ukikua,pamoja na vikwazo vyote alivyowekewa,acha ulaya iendelee kujimaliza yenyewe
 
Vita vimewakuta Warusi hadi Moscow, maana wanasakwa hadi wanywa gongo waende wakapigane......
Akina yakhe walikua wamezoea kuishi maisha huku wakskliza habari za vita kwenye radio na TV, ila ghafla wamejikuta wanaikimbia nchi.
Marekani hupigana vita aina nyingi tena kwa wakati mmoja ila ni zamani sana tangu waburuze wananchi waende kuisaidia taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ