Mkuu Urusi miezi 7 tu alilazimika kuajiri vijana wa JKT kwenda vitani, majenerali amebadilisha kama nguo yake hawana idadi, lakini adui alikuwa Kyiv alipovamia sasa Ukrain wameweza kumtoa adui miji mikuu na kubakisha ya pembeni na pembeni yenyewe Jeshi la Ukrain linaendelea kumega maeneo yao ya ardhi utegemee miaka miwili itakuwaje?
Putin saiv analenga mabomu out of targets, ameenda kushambulia nyumba za raia na kuua 19 wachambuzi wengi wameona ni mtu ambaye hana malengo, ameshindwa kulinda majimbo aliyopiga kura kupitisha sheria kwamba sasa ni ya urusi, Ukrain wana advance wana retake towns kila leo