Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry.

Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek!

Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya Zamaleki na Almasry?

Kama Almasry anaweza kumfunga Zamalek mnadhani kwa nini mechi ya Simba na Stellenbosch iwe ngumu zaidi?

Mashindano yoyote sio rahisi kwani hata timu ndogo zinaweza kuziotea timu kubwa ni kawaida sana.
Hii ndio soka.Kifupi Simba wanajua wanataka nini
Hayo maneno ya kusema mpinzani wa sasa ni bora kuliko Almasry ni upotoshaji tu na kutojua mpira
 
Kwenye mpira 1+1 sio sawa na 2.

Huwezi kusema kwa kuwa Zamalek kafungwa na Al Masry (alietolewa na Simba), basi mechi dhidi ya Stellenboch (aliemtoa Zamalekh) itakua nyepesi!

Akili yako ikishaanza kufikiria hivyo basi tunaanza kupata mashaka na football IQ yako.
 
😂😂 huna akili...hebu rudia kusoma ulichoandika kama kina tofauti na hao wachambuzi.
 
Back
Top Bottom