Wachawi na magereza

ivi yule mtoto aliyetikisa sana kwa kula nyama za watu akienda kwa jina la utani Rama mla watu Yuki wapi?
 
Ningekua na namba yako ningekutumia 700 ili 500 ununue juice halafu miambili yakutolea

Ha ha haaaa. Asante mkuu, hizi makitu kama hufanyia mambo fulani huwezi kuzijua. Wengi wanaishia kubisha tuu. Hiyo 700 ukaitoe kanisani basi, utakuwa umenipa indirectly
 
ivi yule mtoto aliyetikisa sana kwa kula nyama za watu akienda kwa jina la utani Rama mla watu Yuki wapi?
dah aisee imenikumbusha mbali sana, ebu niulize sasa yule mchawi ni gani anayeonekana? au vitu volifeli?
 
Dogo nilimkuta butimba mwanza,nienda kumuona rafikiyangu ila ameisha yoka kuwa hana hatia
 
Huwa najiuliza kwanini uchawi hautumiwi kwa maendeleo?
 

Huu uchawi nitajifunza huu
 

Hahahahaaa Mjomba unanichekesha balaaa...
Gunia la minyoka... teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…