Wachawi na magereza

Wachawi na magereza

Hakuna uchawi
Root hii si kweli uchawi upo tena live kabisa hata vitabu na misahafu vimeelezea uwepo wa uchawi ningejua uko wapi na una nafasi ningekualika uje huku niliko ujionee....niko field ya utambuzi wa kiroho na nguvu za kishirikina karibu sana
 
Last edited by a moderator:

Wapi upo tufike
 
Last edited by a moderator:
NHapa nimekumbuka story za jambazi Nyombi yule wa mbeya,
eti alikuwa na uwezo wa kujigeuza kuwa sisismizi akatoka pale gereza la LUANDA la Mbeya

Aisee ebu tupe full stori ya huyo jombi nasikia alikuwa mtu hatari sana mitaani kuanzia iwambi chakaza mpaka uyole!
 
Salaam wakuu, leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una sehemu zake za kuufanyia na sio popote?

Mbona vitabu vya Mwanamalundi vimejaa tele? Jamaa uliutumia uchawi wake kula bata zama za ukoloni?
 
Mbona vitabu vya Mwanamalundi vimejaa tele? Jamaa uliutumia uchawi wake kula bata zama za ukoloni?
ina maana hata huyu jamaa nae alikuwa mchawi?, wengine wanasema jamaa alikuwa na kpaji
 
Back
Top Bottom