Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Braza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Moderator BlackBold Reviser niwekeeni image hiyo kwenye full scale
HahahaAmekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.
Hakiomekani ni kitu ganiKwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Pengine amezaliwa na kukulia mjini hajawahi kuona wale waganga wanaosema wanatoa uchawi hasa vijijini, hawa huzunguka karibu wilaya nzima wakitoa uchawi kama umewahi kuona hawa na maigizo yao huwezi kushtuka na vitu vya kipuuzi kama hivyo.Hahaha
Pengine amezaliwa na kukulia mjini hajawahi kuona wale waganga wanaosema wanatoa uchawi hasa vijijini, hawa huzunguka karibu wilaya nzima wakitoa uchawi kama umewahi kuona hawa na maigizo yao huwezi kushtuka na vitu vya kipuuzi kama hivyo.
Ngoja niishie hapo watu wasije kazia mimi ni mganga maana kuna watu humu wanaamini hivyo.
Umewaza mbele ya mstari kiongozi, kumbe inawezekana tunaharibu mishe ya kumuingizia ugali memba mwenzetu!Wale ni MATAPELI tupu ,wanamazingaombwe pia ni MATAPELI pia....na hao waganga wake waliotoa vitu ni MATAPELI na tukienda mbele zaidi hata mtoa mada anaweza pia kuwa TAPELI maana kuna watu wataomba namba za huyo mganga nao watatuliwe na hapo ndipo A few moments later itakapokuja.
Kama umeenda kwa waganga ili wakusaide tambua kuwa hujasaidika chochote. Sanasana familia imefungwa ktk nguvu za giza. Wewe ulipaswa kwenda kanisani kuombewa.Braza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Moderator BlackBold Reviser niwekeeni image hiyo kwenye full scale
View attachment 3397494
Hujawahi kupatwa na kitu wewe sanasana utakua kula kulalaUmewaza mbele ya mstari kiongozi, kumbe inawezekana tunaharibu mishe ya kumuingizia ugali memba mwenzetu!
😄😄 basi namwacha. wajinga ndiyo waliwao.
Kwa Mwamposa?Kama umeenda kwa waganga ili wakusaide tambua kuwa hujasaidika chochote. Sanasana familia imefungwa ktk nguvu za giza. Wewe ulipaswa kwenda kanisani kuombewa.
Mkuu hapo nilipga haraka haraka mganga alinikatazaUmekipiga picha usiku hakionekani vzuri
rudia picha ya mchana!
Polee, UmeibiwaaBraza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Moderator BlackBold Reviser niwekeeni image hiyo kwenye full scale
View attachment 3397494
Huna ujualo kwenye hii dunia hao wazungu tu wanaita waganga ww mlokole wa kyera utaniambia nnPolee, Umeibiwaa